GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ibara gani inasema hivyo mkuu? Mbona ata NLD awashiriki..acheni kujiona makamanda sisi ndiyo zaidi na muhimu kuliko wengine
 
mtu kua maskini ama tajiri haina uhusiano na serikali ni jitihada binafsi, na haiwezekan kila mtu akawa tajiri
 
mtu kua maskini ama tajiri haina uhusiano na serikali ni jitihada binafsi, na haiwezekan kila mtu akawa tajiri
Jitihada binafsi sio! Haya tajiri ila kifupi jua kwamba swala la uchaguzi bado bicgi sana
 
Dah ushauri wa maana Sana...
 
as long msimamo wenu ni kutoshiriki uchaguzi, kaeni pemben acha wengine washiriki wanaotaka na watakaohama chama chenu tambueni ni haki yake hapaswi kuitwa majina
 
Jitihada binafsi sio! Haya tajiri ila kifupi jua kwamba swala la uchaguzi bado bicgi sana
uchaguzi mnataka tuwabembeleze ama, msimamo ni hamshiriki basi kaeni pemben vyama vya upinzan vipo vingi
 
Walishajitoa

Kuwaruhusu ni udhaifu mkuu
 
as long msimamo wenu ni kutoshiriki uchaguzi, kaeni pemben acha wengine washiriki wanaotaka na watakaohama chama chenu tambueni ni haki yake hapaswi kuitwa majina
Kabisa, msimamo wetu ni kutoshiriki upuuzi. Majina wote wanaitwa kwa pande zote, sio wanaohama cdm tu.
 
uchaguzi mnataka tuwabembeleze ama, msimamo ni hamshiriki basi kaeni pemben vyama vya upinzan vipo vingi
Hivi nani anaye bembeleza Kati ya hawa
1.yule anaye bebelea kuhonga baiskeli ,tshirt na kofia na kusomba watu na malori kama mifugo kuwapeleka kwenye mikutano ili watu wawe wengi?
Au
2.yule ambaye wananchi wanakuja wenyewe kwa hiyari kwenye mikutano na bado wanatoa pesa zao mifukon kukichangia chama wanacho kipenda kwa hiyari bila mtutu wa bundu nyuma yao

Kuhusu vyama vingine hao ni wake zenu nyumba ndogo wala hakuna anye shtuka vikiwepo maana kwanza havipo kwa maslahi ya watanganyika hali kukidhi njaa na tamaa zao huku wakiwabeba wezi na wauza madawa ya kulevya walio jificha ndani ya CCM wakijinadi ni wanachama kindaki ndako wakiwatumia majuha kama wewe kufanikisha maelengo yao.
Hebu Ifikirie Tanzania ya wajukuu zako itakuwaje ikiwa wewe babu yao leo hapa umekuwa chawa na mzalendo kwa watu badala ya kuwa mzalendo kwa nchi yako.
 
nyie ndo mnabembeleza mshasema hamuendi kwenye uchaguzi mmeskika wengine wamesema wanaenda nyie mnataka msikilizwe nyie tu 🤣 🤣

ata kama watu wakipewa ela wapige kura ndo siasa zenyewe izo maana yake umesalitiwa kwa ela, mbna yuda alipewa ela akasaliti kambi, nyie mshaishiwa tulieni na wanaohama chama chenu waacheni ni haki yao

kama ni wake wadogo mmeshindwa nn na nyie kua na hao wake wadogo
 
Kabisa, msimamo wetu ni kutoshiriki upuuzi. Majina wote wanaitwa kwa pande zote, sio wanaohama cdm tu.
huo ndo msimamo wa kiume sasa, hamshiriki tulieni, wanaotaka kuhama chama chenu pia waachen wahame kwa uhuru sio mnawaita majina
 
huo ndo msimamo wa kiume sasa, hamshiriki tulieni, wanaotaka kuhama chama chenu pia waachen wahame kwa uhuru sio mnawaita majina
Yupi anayetaka kuhama amezuiwa? Hatunyamazi kusema kuwa uchaguzi ni wa kishenzi, maana unafanyika kwa kodi zetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…