GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Sasa mnalalamika nini kuhusu Uchaguzi Mkuu? Mlifikiri kuna mtu yeye mwenye akili atakaa awabembeleze? Mkitaka kushiriki Uchaguzi Mkuu subirini hadi 2030! Nyambafu!!!
Hamna anayelalamika mnakumbushwa hii nchi yetu sote wote tuna haki! Na hakuna tone la damu mnalomwaga litaenda bure hii laana itatafuna hd kizazi chako.......mnajimilikisha nchi ya baba yako hii kiasi unaamini mnahaki peke yenu?
 
Ndio, kama dini nyingine zimemua kukalia kimya uovu, si juu ya kanisa kukalia kimya uovu.
Mkuu acha udini hautakusaidia chochote nchi hii mambo za ccm hazihusiani na dini
 
Hamna anayelalamika mnakumbushwa hii nchi yetu sote wote tuna haki! Na hakuna tone la damu mnalomwaga litaenda bure hii laana itatafuna hd kizazi chako.......mnajimilikisha nchi ya baba yako hii kiasi unaamini mnahaki peke yenu?
Thibitisha mahali nilipoandika kuwa nchi hii ni ya CCM? Usipofanya hivyo, wewe ni mjinga na mpumbavu!
 
Mpumbavu na mwehu wewe unayedhani chadema wanavyosisitiza changamoto zilizopo zitatuliwe hawastahili mnaostahili ni nyie na vyama vyenu vya makwapani Chaumwa etc!
 
Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.

Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
We bwege fanya mambo mengine hayo uloandika ni matope tu, chadema wameamua wenyewe kukimbia uchaguzi Rais anahusika nini hapo? Kwamba awabembeleze? We akili umeziacha wapi? Mnamchukulia Rais km hao shangazi zenu hapo uswahilini? Nchi hii inaendeshwa kwa sheria na taratibu Rais hajishughulishi ma wapumbavu km hao. Ht km vyama vyote vingejitoa uchaguzi, uchaguzi ungefanyika tu, km walikuwa wanadengua imekula kwao. Chadema yenyewe iko wapi, chadema imeshakwisha yamebaki mapoyoyo km Heche na huyo mjinga mhaini.
 
U
Yani anapenda mambo mepesiiiiiii anadhani kutawala watu wasiomtaka atakua na amani
Usiyemtaka labda we ngedere, kwanza we ht kadi ya kupiga kura hauna. Watanzania Oktoba tunatiki Samia, atapata si chini ya 90%
 
Yupo wapi Ben sanane?
Mdude nyangali?
Deus soka?
Anzory gwanda
Mzee kibao nk?
Kuuliza haya siyo ukilaza mkuu watanzania wanataka majibu.wewe unawajua wahusika na usikute u miongoni mwao!
wewe hauhisi watanzania wanataka majibu mlimkubal vp lowasa ilihali mlimwita mwizi
 
Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.

Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
Acha kuwapa umuhimu wasiokua nao, Uchaguzi utafanyika bila ya chadema na maisha yataenda hakuna lolote, kwani nani kawazuwia si wamesusa wenyewe, mwaka huu ndio mtajua chadema hawana umuhimu wowote katika nchi hii manadanganyana tu.
 
Mpumbavu na mwehu wewe unayedhani chadema wanavyosisitiza changamoto zilizopo zitatuliwe hawastahili mnaostahili ni nyie na vyama vyenu vya makwapani Chaumwa etc!
Basi kwa taarifa yako, HAKUNA chochote kitakachofanyika mpaka baada ya Uchaguzi Mkuu. Fanyeni mnalotaka kama huo ubavu! Si umeishasema hii nchi sio ya mtu bali ya Watanzania wote sio? Haya, leteni huo ujinga na upumbavu wenu muone kuwa tupo Watanzania wengine tusiopenda ujinga. Fanyeni Sasa! Shenzitaipu!!
 
Mwehu kweli wewe watanzania gani unaowasema?! Wewe mwenyewe moyoni unajua watanzania chaguo lao liko wapi! Chadema wangekuwa hawana maajabu mngehaha na kesi zenu za kubumba hizo hd kusimamisha mikutano yao? Jipe moyo japo ukweli unaujua chizi fresh😁
 
Nakuomba sana mama yangu mpendwa, Rais Samia suluhu Hassan. Uchaguzi wa mwaka huu ndiyo njia Yako pekee ya kukubaliwa na wananchi. Achana na misemo ya walioshindwa mfano: If you lose, lose big and also if you win, win big.

Taifa lipo kwenye ukimya mkubwa sana, naweza nisijue mawazo ya washauri wako lakini Mh Rais usikubali ubatili katika awamu ya pili na ukizingatia umri wako na namna ulivyopokea madaraka. Please take this.
Machawa wanamwambia ni mwemdo mdundo...

Ila kwa mbalii kaanza kuwashtukia hao wapambe nuksi na ndiyo maana Bunge lipo live bado hadi muda huu in case.

Bila CDM kushiriki uchaguzi Mkuu, justification ya uchaguzi itakuwa haipo- sasa wote mnajua madhara yake.
 
Mwehu kweli wewe watanzania gani unaowasema?! Wewe mwenyewe moyoni unajua watanzania chaguo lao liko wapi! Chadema wangekuwa hawana maajabu mngehaha na kesi zenu za kubumba hizo hd kusimamisha mikutano yao? Jipe moyo japo ukweli unaujua chizi fresh😁
Kenge wewe. Watanzania tupo na CCM. Kwenye kuchukua fomu CCM Tanzania yote ilisimama. Halafu unasema eti Watanzania wapo na nani? Shenzitaipu wewe!
 
Muone huyu chura hata usijiongeze watu wamepigwa bumbuwazi na watia Nia wenu kina Baba levo na mkojani? Hao nao wakusimamisha nchi?! Khaa! Kweli mmeishiwa
 
Wewe fala kweli. Kwahiyo ulitaka babaako ndio agombee? Heche mbona ana jina bandia na bado ni Kiongozi wenu? PUMBAVU!!
 
U
Usiyemtaka labda we ngedere, kwanza we ht kadi ya kupiga kura hauna. Watanzania Oktoba tunatiki Samia, atapata si chini ya 90%
Siwezi bishana na baba mtu mzima ambae ustawi wa ndeke zako unategemea uchawa..kisa upo kwenye mrija unaona ndio umemaliza huku wanao wanakuja kua mateja badae kw augumu wa maisha!
 
Back
Top Bottom