GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hata aibu huna, CHADEMA ni yawananchi CCM Imeshikwa na wauza madawa ya kulevya na wezi wa wamali za umma, vitu viwili tofauti kabisa
 
Cheap politics zipo huko kwenu ambako hadi karne hiii bado mnaamini baskeli ni kete ya kuhadaa wananchi aibu sana
siasa haihitaji hisia, wenyewe wamekubali lakini anaeumia mwingine 🤣 🤣
 
Andiko reefu unachochea udini shame on you!
 
Usichanganye dini na ukweli.
Udini ni kuliasa kundi moja la kidini na kuliacha lingine hata kama ni ukweli

Kwahiyo unawaita wa dini yako tu kwenye hizo reforms? Au mnaona mnatawaliwa na makundi mengine
 
Udini ni kuliasa kundi moja la kidini na kuliacha lingine hata kama ni ukweli

Kwahiyo unawaita wa dini yako tu kwenye hizo reforms? Au mnaona mnatawaliwa na makundi mengine
Ni wajibu wa kanisa kuwaambia waumini wake ukweli. Au unataka waite kila muumini kwenye kanisa lao kuwaambia ukweli?
 
Kwani Chadema walizuiliwa kushiriki? PUMBAVU!!
 
Ni wajibu wa kanisa kuwaambia waumini wake ukweli. Au unataka waite kila muumini kwenye kanisa lao kuwaambia ukweli?
Kwanini kanisa? Hao wengine hawapaswi kuwaambia waumini wao, je sio wajibu kwao pia
 
Kwanini kanisa? Hao wengine hawapaswi kuwaambia waumini wao, je sio wajibu kwao pia
Ni wajibu wao. Hao wengine wana utaratibu wao, sio juu ya kanisa kuwapangia cha kusema.
 
Ni wajibu wao. Hao wengine wana utaratibu wao, sio juu ya kanisa kuwapangia cha kusema.
Kwahiyo inapendeza kuhamasishana kwa mlengo wa kidini na madhehebu
 
Kwahiyo inapendeza kuhamasishana kwa mlengo wa kidini na madhehebu
Ndio, kama dini nyingine zimemua kukalia kimya uovu, si juu ya kanisa kukalia kimya uovu.
 
Ulitaka washiriki Ili mzidi kuwaua na kuwatia vilema kama mlivyozea kipindi cha uchaguzi?! Safari hii mtamwagana damu wenyewe huko shenzyyy
Sasa mnalalamika nini kuhusu Uchaguzi Mkuu? Mlifikiri kuna mtu yeye mwenye akili atakaa awabembeleze? Mkitaka kushiriki Uchaguzi Mkuu subirini hadi 2030! Nyambafu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…