GE2025 Rais Samia usikubali kufanya uchaguzi bila ushiriki wa CHADEMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wewe fala kweli. Kwahiyo ulitaka babaako ndio agombee? Heche mbona ana jina bandia na bado ni Kiongozi wenu? PUMBAVU!!
Sasa kichwa kimoja cha Heche utakisimamisha na mabumunda mangapi ya kijani? Heche mmoja kawapeleka puta hd mmesimamisha mikutano yao nyau weee!
 
Sasa kichwa kimoja cha Heche utakisimamisha na mabumunda mangapi ya kijani? Heche mmoja kawapeleka puta hd mmesimamisha mikutano yao nyau weee!
Kwahiyo Kiongozi unamuangalia kwa kuropoka? Basi sawa. Heche yuko vizuri.
 
Kwani hata anakusikia baasi? Akisha piga vyombo anawaza u-rais tu, kwa njia yoyote ile.
 
Sifa ya wanawake wanapenda kudanganywa mzee.Sasa ngoja kimkute kitu kule mbele Alafu ndio atajuta ni nani aliyemwambia asiwe na Akili TIMAMU leo.
 
Toa ushuhuda mmoja tu wa CCM au Serikali kutetema kwa hoja za Heche.
Toa sababu za maana na haki ambzo hazidanganyi moyo wako Wala usifikiri kwa kutumia tumbo la uchawa....... hiyo kesi ilyofunguliwa na kupelekea wasimamishwe kufanya mikutano ni ya haki?! Serekali /Ccm Wamepigwa za chembe hadi wamaweka Mpira kwapani. Cdm inatangaza mkutano saa 2 asbh saa 4 uwanja umejaa raia wameenda wenyewe hawajabebwa km ng'ombe vile mnabeba misukule yenu hd mkawamwaga na kuwaua. mxiuuuu sijui hata nabishana nini nawewe ukute unakula ugali wa shikamoo 😏
 
Dah! Nikafiri utatoa hoja!πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…