Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

Wengine huwa wanapewa nafasi lkn huwa wanazikataa
 
Ninakumbuka baada ya uhuru uteuzi wa ma DED walikua ni mabalozi walioshushwa vyeo, walimu wa muda mrefu na wenye sifa nk.
 

Huyu si ndo yule wa Kibonzo cha "Bwana Hamnazo na shamba la mbigili?"
 
Walimu ni mawakala wa uchaguzi miaka yote. Yani hao usiwataje, wwnatumika sana kama kondomu. Maana utasikia uchaguzi kituo Cha kura shule fulani, msimamizi ni mwalimu pia. Wanatumika sana wala haina ubishi
 
Wewe vo hutaki?
 
Sheria ipi inayosema ded lazima awe mtumishi wa umma?
 
Nami ningepata nafasi ya kupendekeza na huyo mpendekezwa wangu kama angekuwa bado yu hai ningemtaja Marin Hassan Marin. Mola amuhifadhi huko alipo.
Nadhani Luna jambo umelisahau, hata jiwe yupo huko huko nadhani watayajenga huko na jiwe atampa mwenzake kitengo
 
Ninakumbuka baada ya uhuru uteuzi wa ma DED walikua ni mabalozi walioshushwa vyeo, walimu wa muda mrefu na wenye sifa nk.
Wewe baada ya Uhuru ulikuwa unafanya nini duaniani?, manake tunazungumzia 63-65(where were you?)
 
Mc wa serikali na kuwa DED bora kuwa Mc, kuwa ded ni kujiingiza kwenye stress ,mshahara wenyewe ni wa kawaida tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…