Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

Rais Samia usimsahau Shaban Kissu kwenye mkeka wa ma-DED

Huyu KISSU kashindwa mwanzo alipewa kondoa kwao akachemka amebaki mc was shehere za serikali mlevi sanaaa
 
Shabani Kisu anaitendea vyema nafasi yake. Galafu nadhani huko anapiga hela ndefu. Kama umaarufu tayari anao.

Aende kwenye ukurugenzi kufanya nini wakati hajawahi hata kuwa monitor shuleni?

Kule kwenye ukurugenzi jamani panahitaji utaalamu!
 
Hii nchi siyo mali ya watu fulani fulani tu, huyu kissu aliwahi kuwa DC wa kondoa bado unampigia chapuo awe DED, kipi alichokifanya Kondoa? Kwa ma DED tunataka sura mpya kabisa
 
Back
Top Bottom