nashicha JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 279 Reaction score 524 Jun 22, 2021 #41 Huyu KISSU kashindwa mwanzo alipewa kondoa kwao akachemka amebaki mc was shehere za serikali mlevi sanaaa
Huyu KISSU kashindwa mwanzo alipewa kondoa kwao akachemka amebaki mc was shehere za serikali mlevi sanaaa
I iikatseb JF-Expert Member Joined Sep 13, 2014 Posts 477 Reaction score 686 Jun 22, 2021 #42 Asimsahau Fahami Matsawili kijana kapambana sana naamini safari hii hakosi uteuzi Sent from my SM-M515F using JamiiForums mobile app
Asimsahau Fahami Matsawili kijana kapambana sana naamini safari hii hakosi uteuzi Sent from my SM-M515F using JamiiForums mobile app
7ve JF-Expert Member Joined Feb 1, 2014 Posts 1,458 Reaction score 4,000 Jun 22, 2021 #43 nashicha said: Huyu KISSU kashindwa mwanzo alipewa kondoa kwao akachemka amebaki mc was shehere za serikali mlevi sanaaa Click to expand... Haa kumbe ni members mwenzetu wa masanga safi sana.
nashicha said: Huyu KISSU kashindwa mwanzo alipewa kondoa kwao akachemka amebaki mc was shehere za serikali mlevi sanaaa Click to expand... Haa kumbe ni members mwenzetu wa masanga safi sana.
U Umkonto JF-Expert Member Joined Dec 27, 2018 Posts 2,652 Reaction score 4,593 Jun 22, 2021 #44 Shabani Kisu anaitendea vyema nafasi yake. Galafu nadhani huko anapiga hela ndefu. Kama umaarufu tayari anao. Aende kwenye ukurugenzi kufanya nini wakati hajawahi hata kuwa monitor shuleni? Kule kwenye ukurugenzi jamani panahitaji utaalamu!
Shabani Kisu anaitendea vyema nafasi yake. Galafu nadhani huko anapiga hela ndefu. Kama umaarufu tayari anao. Aende kwenye ukurugenzi kufanya nini wakati hajawahi hata kuwa monitor shuleni? Kule kwenye ukurugenzi jamani panahitaji utaalamu!
Tayukwa JF-Expert Member Joined Dec 11, 2014 Posts 2,178 Reaction score 4,410 Jun 22, 2021 #45 Muuza viatu said: Alikua anatumikia wap Marin Click to expand... TBC
nashicha JF-Expert Member Joined May 29, 2021 Posts 279 Reaction score 524 Jun 23, 2021 #46 7ve said: Haa kumbe ni members mwenzetu wa masanga safi sana. Click to expand... Members wa nguvu Ila yeye anaharibu akizidiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
7ve said: Haa kumbe ni members mwenzetu wa masanga safi sana. Click to expand... Members wa nguvu Ila yeye anaharibu akizidiwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sultani Makenga JF-Expert Member Joined Jul 4, 2016 Posts 621 Reaction score 1,039 Jun 23, 2021 #47 Hii nchi siyo mali ya watu fulani fulani tu, huyu kissu aliwahi kuwa DC wa kondoa bado unampigia chapuo awe DED, kipi alichokifanya Kondoa? Kwa ma DED tunataka sura mpya kabisa
Hii nchi siyo mali ya watu fulani fulani tu, huyu kissu aliwahi kuwa DC wa kondoa bado unampigia chapuo awe DED, kipi alichokifanya Kondoa? Kwa ma DED tunataka sura mpya kabisa