issenye
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 3,795
- 5,255
Rudia kusoma jombaaKwa hivyo ww unabisha au ww ndio jizi lenyewe
Rudia kusoma jombaaKwa hivyo ww unabisha au ww ndio jizi lenyewe
Ili iwejerudia kusoma jombaa
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Kwa mauaji na kubambikia watu kesi.Tutamkumbuka
🗑️🗑️🗑️🗑️Ili iweje
Chadema watabishaKwa mauaji na kubambikia watu kesi.
TTCL? Yaani unahisi hiyo mifumo ni ya TTCL? Au kwamba wanatumia network ya TTCL? Sijaelewa TTCl imeingiaje hapo.Tatizo magufuli alilazimisha kampuni/mashirika yote za serikali kuwatumia TTCL kwenye maswala ya mawasiliano wakati TTCL wenyewe hawajiwezi. Tatizo halijaanza leo kwenye mawasiliano ila kwa kuwa haikuruhusiwa kutoa taarifa enzi zake wengi mtaona ni jambo jipya kwa kuwa tu limewagusa wengi (watumiaji hata wa hali ya chini) Watu wanaolipa kodi TRA wameshazoe hali hii mbona.
Naunga mkono hoja , anaem-beep hasa lengo ikiwa ni kumfanyia hujuma ni kuvulumishwa tz ina watu mil 60 na wenye uwezo wa kisimamia kazi zikaenda vizuri ,100% naunga hoja mkono
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Weweuna mimba changa? Hebu Soma Tena post yangu, msiwe mnaingia kwenye mitandao kucomment Kama mna stress. Pambaaf zakoMbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Duu! Hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida? Je backup systems, turn around times na business continuity ni kitu gani? Mbona nchi za wenzetu mifumo sio rahisi kuanguka? Kwahio sisi mifumo yetu ina utofauti gani na hio mifumo ya teknologia kwingine?Mbona maelezo ya TANESCO yanaeleweka, au mwenzetu ni ile kndi la Sukuma gang ambalo kila tatizo mnaona kuwa limetokea kwa kuwa Jiwe limeanguka? Kutokea kwa hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida na ndio maana TANESCO wameeleza kuwa wataalam wanashughulikia tatizo
Usitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.Hiyo mifumo inasimamiwa na watu,hata marekani wenye mifumo imara hupata watu wasio imara na ndio maana walimuondoa Trump.
Ukiona unasifiwa na chadema ujue una matatizoUsitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.
Rais asiposhupaa atavuna mabuaKuna mtu anatengeneza mwanya wa kupiga hela!
Ova
Ukiona unasifiwa na chadema ujue una matatizo
Hilo ndiyo tatizo la Magufuri na vibaraka wake.Ukiona unasifiwa na chadema ujue una matatizo
Wewe una mimba ya Magufuli? Wapi hapo umeona nimtaja Magufuli? Unalazimisha Magufuli ili upate nini? Nimeuliza hizo Sheria zinasimamiwa na Nani? Zinajisimamia zenyewe?Usitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.
Kanda ya ziwa waangalia tu,ujinga unaondeleaRais asiposhupaa atavuna mabua
Mfumo alitengeneza ndio huo unaochezewa.Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara