Kama huliamini hilo kaa utulie uone kama mitazamo yetu ni hasi au ni chanya ugonjwa wa Magufuri bado unakusmbua.Wewe una mimba ya Magufuli? Wapi hapo umeona nimtaja Magufuli? Unalazimisha Magufuli ili upate nini? Nimeuliza hizo Sheria zinasimamiwa na Nani? Zinajisimamia zenyewe?
Back up itoke wapi wakati wote walilazimishwa kutumia TTCL? waliojifanya kuwa na back up walikiona cha moto.Duu! Hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida? Je backup systems, turn around times na business continuity ni kitu gani? Mbona nchi za wenzetu mifumo sio rahisi kuanguka? Kwahio sisi mifumo yetu ina utofauti gani na hio mifumo ya teknologia kwingine?
Wewe ni mpuusiKama huliamini hilo kaa utulie uone kama mitazamo yetu ni hasi au ni chanya ugonjwa wa Magufuri bado unakusmbua.
TRA, TANESCo na TPA ni taasisi nyeti mifumo yake ipo imara.Tigo pesa ilivyogoma kwa zaidi ya siku mbili juzi kati hapa ni nani walikuwa wanahujumu?
Wewe nafikiri ni mwehu. Unataka mifumo gani? JpM alianzisha control numba na ndiyo maana mapato yalipaaa.for the last 5 years ulisikia wapi Tanesco wakiketa ujinga kama siyo pumbafu wa namna hii.yani mwananchi aende akapige foleni ofisi za wilaya na mkoa? Serious??Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Kwamba huna akili.....🗑️🗑️🗑️🗑️
UshaliwaAcha kupotosha watu hii mifumo tunaitumia kila siku glitch za hapa na pale hazikosekani, ondokana na mawazo ya jiwe aliekua anafikiri kila kitu ni hujuma, chanjo hujama, barakoa hujuma, corona hujuma, ukiwa na hela hujuma.
Nilitaka kuonyesha kuwa hii mifumo huwa sometimes inapata changamoto..kuwa nyeti sio guarantee kuwa haitopata dosari...lakini pia sikatai kuwa inawezekana kuna wajanja wanataka kupiga hela za maintainance kwa kuchokonoa systems.TRA, TANESCo na TPA ni taasisi nyeti mifumo yake ipo imara.
Tigo ikisumbua watu wataamia Voda, Ila TRA au TANESCo ikisumbua utahamia wapi?
Mama anatakiwa afanye kama Meko..meko alifukuza watu wa JK wote.
yeye muach ewatammaliza kabisa hawa kenge hawana dogo wana roho mbaya kama meko
Mama Samia Mimi ni mfuasi wako ambae sitakua tayari kuona Kuna watu kwa makusudi wanapima kina Cha maji. Mama Samia hawa watu wanaku-beep kila Mara ili kuona Kama upo strong au weak, waonyeshe wewe ni nani.
Waambie wewe ni amiri jeshi mkuu na Mtu makini sana, Wala usiwaonee aibu kwa kuwa unawajua tayari. Na kawaida yao wataanza kukuchafua kwa kila aina ya maneno Ila usijali ndio kazi ya kiongozi hiyo. Kiongozi huwezi kumridhisha kila mtu, Hawa watu wanauchezea mfumo wa GePG kwa makusudi kabisa.
TRA na Sasa TANESCO lugha yao imebadilika na kuwa "system ipo down" , watu wameshindwa kununua umeme majibu ya TANESCO eti wavumilie. System kama ya TANESCO inaharibikaje kirahisi hivi? Hapo inatafutwa namna ili kurudi mfumo wa zamani Kama ilivyotokea kwa TPA eti mfumo wa electronic clearing system upo chini hivyo kutumika wa zamani.
Ni wazi hii ni hujuma na makusudi kwa kuwa haiwezekani mifumo ya taasisi nyeti Kama TRA, TPA na TANESCO yote iwe hivi kwa kipindi Cha mwezi mmoja tu. Mama Samia shusha rungu na wasikuzoee kabisa maana hawahawa wanaokukwamisha ndio watakuwa wa kwanza kusema "umeshindwa kuongoza huwezi uraisi".
Wote mnaoanza kum-beep mama Samia siku zenu zinahesabika, Tanzania sio shamba la Bibi.
Hao nchi hii wapo tuKina mjomba wamesharudi....
tulishaona haya
Ata kwa kupitia TTCL, mbona huduma imekua nzuri kwa miaka na turn around times za matatizo nzuri kurekebisha hitilafu. Nini tofauti sasa?Back up itoke wapi wakati wote walilazimishwa kutumia TTCL? waliojifanya kuwa na back up walikiona cha moto.
#Msoga gangKama kiongozi mkuu anademka wenzake watafanyaje
#gogo gang
#sukuma gang
#chadema4revolution
Mifumo ni nini? Na inajiendeshaje? Na inaongozwa na kusimamiwa na nani?Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara