Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Endeleni kumchokoza Mama, akigeuka kuwa mbogo tutatafutana kwa tochi
 
Tutamkumbuka
 
TTCL? Yaani unahisi hiyo mifumo ni ya TTCL? Au kwamba wanatumia network ya TTCL? Sijaelewa TTCl imeingiaje hapo.
Ila Kama hujui chochote kuhusu network Wala usiongee maana ni Jambo ambalo lipo juu ya uwezo wako
 
Naunga mkono hoja , anaem-beep hasa lengo ikiwa ni kumfanyia hujuma ni kuvulumishwa tz ina watu mil 60 na wenye uwezo wa kisimamia kazi zikaenda vizuri ,100% naunga hoja mkono
 
Weweuna mimba changa? Hebu Soma Tena post yangu, msiwe mnaingia kwenye mitandao kucomment Kama mna stress. Pambaaf zako
 
Duu! Hitilafu kwenye mfumo wa mawasiliano ni jambo la kawaida? Je backup systems, turn around times na business continuity ni kitu gani? Mbona nchi za wenzetu mifumo sio rahisi kuanguka? Kwahio sisi mifumo yetu ina utofauti gani na hio mifumo ya teknologia kwingine?
 
Hiyo mifumo inasimamiwa na watu,hata marekani wenye mifumo imara hupata watu wasio imara na ndio maana walimuondoa Trump.
Usitetee uovu wewe,nchi huongozwa na sheria za nchi na siyo sheria au matakwa binafsi ya kiongozi,Magufuri kwa asilimia kubwa ameacha ugonjwa ambao kuutibu itachukua muda mrefu,labda mama Samia ajiongeze kwa kuteua Waziri mkuu mwingine ambaye falsafa zitaendana lakini akimwachia huyu mwenye falsafa ya kimagufuli,utawala wake utayumba tu apende asipende.
 
Ukiona unasifiwa na chadema ujue una matatizo
 
Wewe una mimba ya Magufuli? Wapi hapo umeona nimtaja Magufuli? Unalazimisha Magufuli ili upate nini? Nimeuliza hizo Sheria zinasimamiwa na Nani? Zinajisimamia zenyewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…