Rais Samia usimuonee mtu aibu, mifumo ya Serikali inachezewa kwa makusudi

Acha kupotosha watu hii mifumo tunaitumia kila siku glitch za hapa na pale hazikosekani, ondokana na mawazo ya jiwe aliekua anafikiri kila kitu ni hujuma, chanjo hujama, barakoa hujuma, corona hujuma, ukiwa na hela hujuma.
 
Wewe una mimba ya Magufuli? Wapi hapo umeona nimtaja Magufuli? Unalazimisha Magufuli ili upate nini? Nimeuliza hizo Sheria zinasimamiwa na Nani? Zinajisimamia zenyewe?
Kama huliamini hilo kaa utulie uone kama mitazamo yetu ni hasi au ni chanya ugonjwa wa Magufuri bado unakusmbua.
 
Tigo pesa ilivyogoma kwa zaidi ya siku mbili juzi kati hapa ni nani walikuwa wanahujumu?
 
Back up itoke wapi wakati wote walilazimishwa kutumia TTCL? waliojifanya kuwa na back up walikiona cha moto.
 
Tigo pesa ilivyogoma kwa zaidi ya siku mbili juzi kati hapa ni nani walikuwa wanahujumu?
TRA, TANESCo na TPA ni taasisi nyeti mifumo yake ipo imara.
Tigo ikisumbua watu wataamia Voda, Ila TRA au TANESCo ikisumbua utahamia wapi?
 
Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Wewe nafikiri ni mwehu. Unataka mifumo gani? JpM alianzisha control numba na ndiyo maana mapato yalipaaa.for the last 5 years ulisikia wapi Tanesco wakiketa ujinga kama siyo pumbafu wa namna hii.yani mwananchi aende akapige foleni ofisi za wilaya na mkoa? Serious??
 
TRA, TANESCo na TPA ni taasisi nyeti mifumo yake ipo imara.
Tigo ikisumbua watu wataamia Voda, Ila TRA au TANESCo ikisumbua utahamia wapi?
Nilitaka kuonyesha kuwa hii mifumo huwa sometimes inapata changamoto..kuwa nyeti sio guarantee kuwa haitopata dosari...lakini pia sikatai kuwa inawezekana kuna wajanja wanataka kupiga hela za maintainance kwa kuchokonoa systems.
 
Kuna nini serikalini sasa hivi? Mbona haya matatizo hayakuwepo mpaka Mama amekuwa Rais? Kuna haja ya kuyaangalia kwa jicho la tatu
 
Jk alikuwa na 'watu' wa aina tatu

1.Marafiki zake wa kufa na kuzikana kama Hayati Dito

2.Alikuwa na Marafiki zake wa kisiri siri ambao ni watu muhimu sana lakin kwa mazingira yote hujifanya hajuani nao wala hana mazoea nayo hapa kwa sababu maalum sitaji mifano

3. Marafiki wa Kimaslah ambao watamfanikishia Mambo yake japo 'Hawafeel kiviiile' kama kina Ngoyai na Rostam na Chenge na Membe
4.Marafiki zake ambao huigiza kama chui na Paka kama Mbowe na Zitto



Mama anatakiwa afanye kama Meko..meko alifukuza watu wa JK wote.
yeye muach ewatammaliza kabisa hawa kenge hawana dogo wana roho mbaya kama meko
 

Hii tabia ya kuanza kumpangia rais wa JMT inatoka wapi? Mbona jiwe mlikuwa hamthubutu?

Kamanda Sirro tafuta usukume ndani watu hawa bado hawajajua hii nchi ina rais. Hawachoki kudai rais ni dhaifu.
 
Back up itoke wapi wakati wote walilazimishwa kutumia TTCL? waliojifanya kuwa na back up walikiona cha moto.
Ata kwa kupitia TTCL, mbona huduma imekua nzuri kwa miaka na turn around times za matatizo nzuri kurekebisha hitilafu. Nini tofauti sasa?
 
Alaumiwe magufuli kwa kuongoza nchi kama anaongoza familia yake badala ya kutengeneza mifumo imara
Mifumo ni nini? Na inajiendeshaje? Na inaongozwa na kusimamiwa na nani?

Nielimishe mkuu ili nipate kufahamu ili siku nyingine na mimi nione umuhimu wa mfumo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…