Rais Samia usiongee lolote juu ya suala la DP World kwa sasa. Ukimya wake unawatesa mno, acha waendelee kuteseka huku ujasiri na matokeo vikikubeba

Kama DP wakija tu, bei ya diesel ikashuka na kuwa sh 1,800 kwa lita kama ilivyo Nigeria, pengine wapo watakaobadilika na kùunga mkono.

Kama DP wakija tu, VAT ikashuka mpaka kuwa 5% kama ilivyo Ghana, au kufutwa kabisa kama ilivyo USA au Brunei, pengine wapo watakaobadilika na kuunga mkono.

Kama DP wakija, kodi kwenye PAYEE ikafutwa kama ilivyo Oman, wapo watakaobadilika na kuunga mkono.

Kama DP wakija, kukabadilisha idadi ya kodi, tozo na ushuru kutoka msululu uliopo mpaka idadi ya kodi kutokuzidi 3, na kuweka sheria inayotamka ni marufuku kuwa na kodi zaidi ya 3 kwa kitu kimoja kama ilivyo Botswana, wapo wengi wataunga mkono na kupongeza ujio wa DP.

Kinyume cha hapo, sahau kama hilo litatokea.
 
Mama Samia ametufundisha somo kubwa sana, nimejifunza kutoka kwake kuwa uongozi na siasa si majibishano ya kwenye majukwaa.
 
Bei ya mafuta si imepandishwa na waliopo mpakani na Kenya? Au tumesahau?
 
Aongeee nn sasa wakati keshakimbia nchi INAONEKANA we bado mbumbumbu Jibu Hoja kauza kakodisha au katoa bure bandari zetu
Nani kakimbia nchi? Acha kuandika tu kila kinachokujia kichwani. 🙏🙏🙏
 
Tapeli akimshauri tapeli mwenzie
 
Anayejmia zaid yeye anayehifadhi moyoni

Manake

Mbeya lazmanatakutana na mabango tar 8 na kelekele za wananchi akaze shingo na hapo

Jk anaifahamu vizur mbeya

Watu wa mbeya majasiri na hawaogopi hata bunduki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakimbia nchi? Acha kuandika tu kila kinachokujia kichwani. Weee unataka niandike yanayotoka tumboni.... jibu Hoja mm sio Chawa bandari au ametolea mahati
 
We unaota au!
 
Basic kabisa hii

Hutaki kusikia la mtu

Ni vita ya chawa na kunguni hii

Nchi nzima Hatuna tena rational debate
Huo udhaifu mkubwa sana wala hakuna cha kujifunza, mpaka sasa anasutwa na wanaccm wenyewe kuliko wapinzani.
 
Huo udhaifu mkubwa sana wala hakuna cha kujifunza, mpaka sasa anasutwa na wanaccm wenyewe kuliko wapinzani.
Actually Hakuna anayemsuta

Tunasutana wenyewe tu…. Mwisho wa Siku ataamka atasema neno na misutano yetu itakata

Tulizoea kukurupushwa na kupigwa biti…. Zama hizi ni maamuzi bila kelele
 
Shida haipo kwenye kuongea , tatizo ataongea nini? Contents anazo? Rejea alivyoongelea hilo suala la Bandari aliongea kitu gani? Kuna chochote utasema kweli kaongea? Kukaa kimya ni kukosa majibu stahiki. Hii issue waachane nayo!
 
Hivi unadhani nani anakomolewa ?!!!

 
Good point mkuu 👍
 
Actually Hakuna anayemsuta

Tunasutana wenyewe tu…. Mwisho wa Siku ataamka atasema neno na misutano yetu itakata

Tulizoea kukurupushwa na kupigwa biti…. Zama hizi ni maamuzi bila kelele
Kuchelewa kutoa maamzi kuna madhara yake.
 
Kwa hiyo unajiona umeshauri kitu au?
Kichwa bila akili ni adhabu kwa shingo!
Ungekaa kimya ungeficha ujinga wako!
 
Kwa maelezo haya ni dhahiri hata wewe unajua mkataba huu Una shida Ila unalazimisha Mama yenu azibe masikio ili tu asiomekane kawakubalia wapinzani.
Huu ni mtazamo wa ovyo kuweka maslahi ya Mtu na Chama mbele ya maslahi ya Nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…