Hadi damu imtoke masikioniSo called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
A bit too late.. Maandalizi yote yameshakamilika yakiwemo nagari ya deraya bado vifaru tuu.. Hii haina comeback brotherSo called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
A united nation, not a divided one! At the brink of disintegrationAache kuwasilikiliza washauri wake, na badala yake amsikilize bagonza?
Who is bagonza?
Hii inaitwa point of no return!
Kila mtu atetee haki yake..
Sisi tunaotaka kupiga kura tuna washauri wetu, na nyie wa kuandamana mna washauri wenu..
Kila mtu atasimamia mawazo yake, msitulazimishe ukundu wenu hapa!
Akiwa na matashi mema inawezekana. Deraya kweli ziue watu kweli!A bit too late.. Maandalizi yote yameshakamilika yakiwemo nagari ya deraya bado vifaru tuu.. Hii haina comeback brother
Brother have you ever witnessed the last kicks of a dying bull after the butcher's sword has passed through the wind pipe?Akiwa na matashi mema inawezekana. Deraya kweli ziue watu kweli!
Tajiri hashaurikiAngekua ni mama au dada yangu ningemkarisha kwa masaa kadhaa nikamshauri mambo mengi sana... Watoto na ndugu zake wa karibu hawaoni.... Basi hata kama hawaoni hawasikii , 😭😭😭Mshaulini mpendwa wenu bado mnamhitaji sana.
Labda uamke uchome Nyumba yako mwenyewe ila hamna atakaeharibu mali ya mtu , siku hiyo hata sisimizi hatauliwa.Nakubaliana na wewe,hii hali tulipofika sio salama kwetu sisi wote either uandamane au usiandamane..
Tunatishiwa hadi majumba yatachomwa moto mtaani vijana wana hasira sana jamani.
Kumbukeni kama panya road waliweza kuleta fujo haishindikani kundi la wengi mana msafara wa mamba,kenge nao wapo!
Walio karibu na rais wamshauri vizuri achutame alinde raia wake hakuna alie salama.
too late. Huu ushauri hautafanya kazi kampeni zimeisha na zimetumia mamilioni ya hela, imetoka hiyo, omba katiba mpyaSo called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Samia amechagua kuondoka madarakani kwanjia ya fedheha kubwa, kupanga ni kuchagua.Tajiri hashauriki
mbichi chawa!Aache kuwasilikiliza washauri wake, na badala yake amsikilize bagonza?
Who is bagonza?
Hii inaitwa point of no return!
Kila mtu atetee haki yake..
Sisi tunaotaka kupiga kura tuna washauri wetu, na nyie wa kuandamana mna washauri wenu..
Kila mtu atasimamia mawazo yake, msitulazimishe ukundu wenu hapa!