Hata Mimi nitakujibu tarehe 30/10/2025 baada ya watu kupiga kura bila maandamano, ili uanze kupevukaNitàkujibu usichukie
Hata Mimi nitakujibu tarehe 30/10/2025 baada ya watu kupiga kura bila maandamano, ili uanze kupevukaNitàkujibu usichukie
Kwa uchaguzi upi sasa? Mpinzani mkuu na msaidizi wake wapo jela, Watu hawataki kwenda kupiga kura kwa uchaguzi Hewa wa maigizo kuahadaa ulimwengu kwani wanajua wagombea wanazo kura mifukoni mwao kilichobaki ni kujitangazia ushindi wa kizushiToo little too late!
Kwa hapa tulipofika kitu pekee cha kufanyika ni kimoja tuu,
Kwenda kupiga kura
P
Upige kura kwa uchaguzi upi? Tanzania kuna uchaguzi?Hata Mimi nitakujibu tarehe 30/10/2025 baada ya watu kupiga kura bila maandamano, ili uanze kupevuka
Kuna wimbo wa Snura unaitwa ,Chura anaruka ruka chura .So called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Hayapo mpaka katiba mpya itengenezweMridhiane kuhusu nini?
Nape ameishasema kila kitu kinachofanyika, hivyo namna pekee ya kuilinda kura yako, ni kwa wewe kwenda kuipiga, ili kuizuia kumpigia usie mpenda.Kwa uchaguzi upi sasa? Mpinzani mkuu na msaidizi wake wapo jela, Watu hawataki kwenda kupiga kura kwa uchaguzi Hewa wa maigizo kuahadaa ulimwengu kwani wanajua wagombea wanazo kura mifukoni mwao kilichobaki ni kujitangazia ushindi wa kizushi
Ghafla bin Vuu 29 Anatangaza hakuna Uchaguzi,So called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Hivi kwa akili Yako unamuona Lissu ni presidential material?Kwa uchaguzi upi sasa? Mpinzani mkuu na msaidizi wake wapo jela, Watu hawataki kwenda kupiga kura kwa uchaguzi Hewa wa maigizo kuahadaa ulimwengu kwani wanajua wagombea wanazo kura mifukoni mwao kilichobaki ni kujitangazia ushindi wa kizushi