Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Too little too late!So called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Tutakuwa tunamlazimisha kuwa na akili ambayo hana!So called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Unafikri wananchi wakiamua kuandamana una chochote cha kuwafanya? Utaua wangapi?Nyie si wababe maombi ya nini tena?Andamaneni hamna suluhu wala maridhiano.Yaani muiweke Nchi kwenye hali ya taharuki kwa madai yenu ya kijinga?Talking is cheap sogeza pua barabarani tarehe 29 October uone kitachokupata.
Si waandamane ndio tutajua.Unapiga kelele kwenye mtandao hutaweza kujua.Andamana utapata jibu.Unafikri wananchi wakiamua kuandamana una chochote cha kuwafanya? Utaua wangapi?
Na itakuwa ni historia ya millenniumSamia amechagua kuondoka madarakani kwanjia ya fedheha kubwa, kupanga ni kuchagua.
Aache kuwasilikiliza washauri wake, na badala yake amsikilize bagonza?
Who is bagonza?
Hii inaitwa point of no return!
Kila mtu atetee haki yake..
Sisi tunaotaka kupiga kura tuna washauri wetu, na nyie wa kuandamana mna washauri wenu..
Kila mtu atasimamia mawazo yake, msitulazimishe ukundu wenu hapa!
Too little too late!
Kwa hapa tulipofika kitu pekee cha kufanyika ni kimoja tuu,
Kwenda kupiga kura
P
Write your reply...hakuna kuahirisha uchaguzi nyie si mmejiondoa mwenyewe
Na yeye hatumii akili?Washauri wa Mama Samia mnamuangusha sana.
Kwa comment hii! Umepevuka, siyo kama Retired ambaye yupo ndani ya boxA bit too late.. Maandalizi yote yameshakamilika yakiwemo nagari ya deraya bado vifaru tuu.. Hii haina comeback brother
Naunga mkono hoja, tatizo la utekelezaji wa 4R, ni kitu kinachoitwa impositioning, Je, kuna uwezekano baadhi ya Viongozi wetu wanatoa baadhi ya Ahadi kwa "Paying lip Services"?..angetekeleza 4R nchi isingefika hapa ilipo.
Let's get back to square one, lengo la uchaguzi ni nini?, the motive behind uchaguzi wenyewe, angalia tarehe ya bandiko hili ' PreGE2025 - Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa. CCM Amekomba Almost Everything!utakuwa uchaguzi wa hovyo tangu mwaka 1995, kama sio kupita chaguzi zote ktk nchi yetu.
Hana mamlaka Ya kuahirisha uchaguzi..labda mgombea mmoja wa Urais afarikiSo called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema
Hahahahahahahah, kupata vichekesho hivi bofya +++++. Nadhani hamkuwa mkijua kuwa baada ya kususia uchaguzi ni I kitafuata. Imekula kwenu hiyo.So called washauri wako wanatetea matumbo yao.
Ahirisha uchaguzi, tufanye maridhiano, tusonge mbele kama taifa!
Msikilize ushauri wa Askofu Bagonza.
Nakutakia matashi mema