Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Kwa huu upepo ulivyo ingekuwa nchi zilizoendelea Rais Samia angejiuzuru au kuomba radhi kuwa alikosea na kuanzia utaratbu upya wa kumpata mgombea urais.
Matokeo yake amekuwa kinganganizi kama Zuchu, amejilipua liwalo na liwe.
Samia unavuna ulichopanda, mauaji uliyoyafanya, watu waliobakwa, kulawitiwa na kurekodiwa video za ngono na utawala wako Sasa karma imejibu.
Ukilazimisha hutoenda popote ngoo.