GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

GE2025 Rais Samia Utawatala vipi raia wasiokutaka uwe mtawala wao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.

Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.

Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao maiti zao zimelala Mochwari za mahospital ya Tanzania.
 
Sweepers are ready to sweep whoever tries to obscure their way. And this time it will be the iron brooms ☹️☹️😭😭
 
Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.

Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.

Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao maiti zao zimelala Mochwari za mahospital ya Tanzania.
Ajiandaee ICC na huyo Kijodari wake...hakuna kutawala huyo poyoyo wake amezubaa kama Zombie asipobadilika hao mtandao waliomtenda 2015 nitamshangaa sanaa arudishe uzalendo na TANGANYIKA....aaachane JK evil era and Satanic Soul.....hata huyo Kilaza Rzi aavhane nae maana ni Zero tuu kama Matako wa Vhuga
 
Back
Top Bottom