Mochwari zimejaa maiti za Watanzania ambao wamekufa kutokana na uchaguzi ambao wao waliamini hufai kuwa kiongozi wao.
Wanalalamika mitaani kuwa wewe na Familia ya Kikwete na wenzako Kama Angela Kiziga ndio mnanufaika na kodi za taifa hili.
Utawahudumia nini hawa Watanzania ambao ndugu zao maiti zao zimelala Mochwari za mahospital ya Tanzania.