Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

Uzalendo wa nchi moyoni👇🐒🐒🐒
Your browser is not able to display this video.
 
Wakati nchi imejaa wajinga, wanapelekwa kama ng'ombe.
 
Haupo mb
Wakati nchi imejaa wajinga, wanapelekwa kama ng'ombe.
Upo right mkuu, vijana wetu wamejaa uzuzu wa kipumbavu uliotawaliwa na uoga, wengi ni wapiganaji hodari ndani ya social networks including JF,JKT ya awamu ya kwanza, pili ilileta generation ya push back, kwa sasa it's a NO, na mbaya zaidi elimu yetu nayo imepoteza uelekeo, Tanzania it's a English speaking country, ila RWANDA imeamua kwenda kutafuta waalimu Zimbabwe na sio kwetu, madereva wetu wengi hawana uwezo wa kushindana na wazimbabwe, wamalawi,wazambia ndio maana utaona heavy duty vehicle kwenye barabara zetu zenye SA, Namibia number plates zikiendeshwa na raia wa mataifa hayo, inahuzunisha mno
 
Kutamka neno uzalendo ni kitu rahisi ila kulitekekeza ni ngumu sana.
Halafu aliyemuandikia hotuba kaaamua kumdhalilisha anamwandikia mtu hotuba ya uzalendo wakati ametoka kuuza bandari za Tanganyika.
 
Nadhani hukumu la uzalendo liende Hata kwa wale ambao hawakupita JKT!!!

Pia Hata wale waliopita JKT zamani na Sasa uzalendo wao unalegalega nao wakumbushwe kuishi na kutenda kizalendo pia.


Naunga Mkono hoja.
 
Nadhani hukumu la uzalendo liende Hata kwa wale ambao hawakupita JKT!!!

Pia Hata wale waliopita JKT zamani na Sasa uzalendo wao unalegalega nao wakumbushwe kuishi na kutenda kizalendo pia.


Naunga Mkono hoja.
Unapoteza muda tu. Hakuna mtu atakua mzalendo wakati viongozi sio wazalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…