Makanyaga
JF-Expert Member
- Sep 28, 2007
- 11,129
- 7,321
Wapo wawili tu humu jukwaani. Mwingine yupo username yake ina herufi kubwa zoteMengi yapi? Mbona unachapiwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapo wawili tu humu jukwaani. Mwingine yupo username yake ina herufi kubwa zoteMengi yapi? Mbona unachapiwa
Ahahah dah kazi ipoWapo wawili tu humu jukwaani. Mwingine yupo username yake ina herufi kubwa zote
Next time mkumbusheni asisahau Ushungi kwa ajili ya Magwanda.Define uchawa?
Hapendizi kwenye macho yako ya uzee
Hiki ndicho mjuacho ninyi CCM. Mnasisimka huku mnauza bandari kwa waarabu.Nasisimka kwa raha !!
Wakati nchi imejaa wajinga, wanapelekwa kama ng'ombe.60 yrs za JKT ,yeah nimepitia jeshi hili wakati ni jeshi nchi ilikua na heshima na adabu, salute kwako CO LT.COL MTONO pale 835kj,maana ulinifanya niwe ngangari, bila ya kusahau CO LT.COL SANGA pale 837kj, kambi hii ndio it pushed me to the limits, ilinijengea ujasiri, uthubutu mkubwa sana,hongera mno JKT kwa maadhimisho yenu
Upo right mkuu, vijana wetu wamejaa uzuzu wa kipumbavu uliotawaliwa na uoga, wengi ni wapiganaji hodari ndani ya social networks including JF,JKT ya awamu ya kwanza, pili ilileta generation ya push back, kwa sasa it's a NO, na mbaya zaidi elimu yetu nayo imepoteza uelekeo, Tanzania it's a English speaking country, ila RWANDA imeamua kwenda kutafuta waalimu Zimbabwe na sio kwetu, madereva wetu wengi hawana uwezo wa kushindana na wazimbabwe, wamalawi,wazambia ndio maana utaona heavy duty vehicle kwenye barabara zetu zenye SA, Namibia number plates zikiendeshwa na raia wa mataifa hayo, inahuzunisha mnoWakati nchi imejaa wajinga, wanapelekwa kama ng'ombe.
Majina yote hayo!!Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Dkt. Samia Suluhu Hassan
Acha uzuzu itakusaidiaNext time mkumbusheni asisahau Ushungi kwa ajili ya Magwanda.
Zuzu ni wewe Chawa...!!Acha uzuzu itakusaidia
Unapoteza muda tu. Hakuna mtu atakua mzalendo wakati viongozi sio wazalendoNadhani hukumu la uzalendo liende Hata kwa wale ambao hawakupita JKT!!!
Pia Hata wale waliopita JKT zamani na Sasa uzalendo wao unalegalega nao wakumbushwe kuishi na kutenda kizalendo pia.
Naunga Mkono hoja.