Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

Rais Samia: Vijana waliopita JKT wanapaswa kubeba uzalendo wa Nchi moyoni na sio mdomoni

Uzarendo uanze na bandari. Hawa vijana waukatae mkataba wa bandari kwa vitendo
 
Aanze yeye kuwa mzalendo sio anahubiri uzalendo mdomoni ila moyoni ni diiipiii welidi
 
Akasikika mkwere mmoja akisema Zilongwa zitendwa. Mwisho wa kumnukuu.
 
Uzalendo gani katika jeshi lililojaa rushwa kuanziw pesa mpaka ngono, dhuruma na uonevu. Jkt kwa sasa ni wizi wa nguvu ya Umma.
 
Kamwambie afande kruti ametoroka!!

Akichelewa kidogo atamkuta Kabuku !!

----------------------------------------------
Waliopitia Mgambo JKT watakuwa wanaujua wimbo huo. Ni mimi niliyeungiza katiaka DISKO la JKT kamnini hapo mwaka 1982.
 
Haya mavazi ya jeshi wanapenda sana kuyavaa waonekane makamanda, wakati hata six weeks haijui ni kitu gani.
Hawa inatakiwa wawekwe kama target, kwenye mazoezi ya range
 
TBC kuna tatizo sana. Siamini hadi leo hakuna watu wanaoweza kuchanganya picha za TV zikaleta maana. Sehemu imeonyeshwa bendi ya JKT, watu wakisikia matukio ya kushangilia bila kujua nini kimetokea.

Wageni wanatambulishwa kamera inaonyesha mtu amesinzia upande mwingine.
Hawana hata vi-drone vya kuchukua picha kutoka kona tofauti na wala hawajui nini waonyeshe.

TBC ni mswaiba kubwa. Haya huwezi kuyaona hapo jirani Kenya. Shame on you TBC kwa uzembe uliotukuka.

Ukimsikiliza Mtangazaji hakuna anachomuuliza Afisa wa Jeshi aliyepo studio.
Tulitegemea kusikia maswali yakihusu Gwaride, ni nani anaongoza na cheo gani, kwanini sajenti awe katikati ya maafisa wenye upanga na mambo mengi tu! Watangazaji walikaa kimya wakisiliza matarumbeta.
Hii ni aibu sana kwa Taifa

Hivi hakuna TV nyingine zenye watu wenye weledi wa haya mambo.

Yaani ukiwasikiliza RTD ya akina Seif Mkamba, David Wakati, Sekioni Kitojo, Halima Kihemba, J.Tesha, Mfamao (RIP) na wengine wengi utaona tofauti kubwa. Walifanya home work zao wakijua wanazungumzia nini na nani.
Ikiwa ni gwaride watakupa kila maelezo ya nini kinafanyika na kwanini. Nikitazama TBC nasikia haya

Shame on you TBC, hamna thamani ya kodi zetu. Aibu tupu

Wakubwa njooni tuomboleze TBC
Pascal Mayalla JokaKuu Mag3
 
Kamwambie afande kruti ametoroka!!

Akichelewa kidogo atamkuta Kabuku !!

----------------------------------------------
Waliopitia Mgambo JKT watakuwa wanujua wimbo huo.
Yes mkuu hii kambi ilipika watu vema,kipindi kile sio uozo wa sasa
 
Back
Top Bottom