Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Rais Samia amekemea tabia ya viongozi kuwa kimya juu ya ubadhirifu na ubovu wa miradi isiyoendana na thamani ya fedha iliyoko katika maeneo yao na kusubiri mbio za mwenge zije kubaini kasoro za miradi.
Amewataka watendaji kushughulika ipasavyo na kutosubiri mbio za mwenge kujua shida za miradi inayotekelezwa.
Rais amesema hayo katika kilele cha mbio za mwenge, na siku ya kumbukizi ya siku ya mwalimu Nyerere.
Amesema hata kwenye masuala ya rushwa, wengi husubiri mwenge ubaini ndipo washughulike kufuatilia na kuadhiby badala ya kujikita katika kuzia rushwa kutendeka.