kalacha mateo
Senior Member
- Sep 27, 2021
- 122
- 241
Nadhani mtu wa kwanza kujitathmini ni yeye, imekuwaje nchi imetekwa tena na mafisadi na majizi yanayosababisha ugumu wa maisha kwa watu wa kawaida?Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi.
Rais Samia amezungumza hayo alipofanya mkutano wa faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha leo Machi, 02 2023.
“Watu tunao, ardhi tunayo na siasa safi ipo, suala la kujadili ni kuhusu uongozi bora, baada ya kumaliza kikao kazi hiki kila mmoja ajitathmini kama maadili ya kiongozi bora tuliyoambiwa yapo au laa.” Amesema Rais Samia.
Rais Samia amesema lengo la kikao hicho ni kuelekezana juu ya kutimiza ipasavyo wajibu wa viongozi na dhamana waliyonayo ya kuwatumikia Wananchi
Hivi Chamwino ilijengwa kwa Kazi gani?!... manake kuna kipindi nasikia wanafanya vikao vya Baraza la Mawaziri pale, wakati mwingine wanaapishwa viongozi, na juzi waliapishana pale, na naambiwa Chamwino ni kubwa kuliko ikulu ya Dar, inaelekea Chamwino hakuna Faragha...SADNadhani mtu wa kwanza kujitathmini ni yeye, imekuwaje nchi imetekwa tena na mafisadi na majizi yanayosababisha ugumu wa maisha kwa watu wa kawaida?
Uongozi Bora ni pamoja na kutumia rasilimali za nchi kwa umakini mkubwa.Nadhani mtu wa kwanza kujitathmini ni yeye, imekuwaje nchi imetekwa tena na mafisadi na majizi yanayosababisha ugumu wa maisha kwa watu wa kawaida?
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi wa Serikali kujitathmini kwa nafasi zao kama wana maadili ya uongozi.