Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

Rais Samia: Viongozi wanaiangusha PSSSF, mzigo unaangukia kwa Wachangiaji

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Tatizo kubwa sijawahi kusikia au kuona firing squad kwa mafala hao walioharibu au kuhujumu mifuko ya jamii.Kwani serikali yenyewe imekopa au kupora bila aibu na wakati mwingine Chama maarufu cha kisiasa.
Na unafuata msululu wa viongozi wakiwemo wabunge wamekopa lakini hawakurudisha mikopo.
Kwa sababu ya chota chota hata management ikifisadi hakuna wa kumfunga paka kengere.
Iwe Kamati za bunge haina ujasiri kwani nao ni wanakopa humo humo.
 
Wanafanya uzembe then wanabadilisha sheria,wafanyakazi wadai chao otherwise watakua wanabadili sheria kila siku
 
Back
Top Bottom