Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Ndio...na sisi tunalalamika 😀Kwa hiyo na yeye analalamika.
Maajabu sana haya🤣🤣Ndio...na sisi tunalalamika 😀
Hii kitu nilishaiandika sana!!!uwekezaji mbumbu ndio umeleta kikotooo kwetu wafanyakazi!Rais Samia Suluhu Hassan amesema uongozi wa Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa PSSSF unachangia kuanguka kwa mfuko huo kutokana na kutokuwa na uongozi bora pamoja na kukosa uwekezaji sahihi.
Pia soma ~ Kunani PSSSF? Watumishi wanakatwa lakini michango yao haifiki kwenye mfuko
🤣Kwa hiyo na yeye analalamika.