Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Wabunge walioingia mjengoni kwa Hisani ya mwendazake hawawezi kuwa na uchungu na wananchi wa majimbo yao wala nchi kwa ujumla. Na kwa maana hiyo hawawezi hata siku moja kukusaidia katika kuondoa umasikini Tanzania. Kila utalosema wao akili zao zote ziko Chato na zaidi wanachowaza ni mwaka 2025 kumpata mhisani wao mwingine ataorudi nao bungeni.
Chakufanya, wamwage wote kama wana nguvu warudi majimboni wakawaeleze wananchi walichofanya kwa muda huu ili wawarudishe mjengoni, tuone kama kuna ataetoboa. Wataopatikana watakuwa pure cream, hao watakusaidia kujenga nchi. Hawa waliopo sasa hivi ni FITINA TU.