Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 977
- 1,966
Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Hapa ni Kisiwa cha amani?Kama naliona jumba bovu hilo ...
View attachment 3339063
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine iko pale 👉.
Ameshasahau kuwa Mwanaharakati Field Marshall John Okelo wa Uganda ndiye alileta uhuru Zanzibar?Akizungumza Leo hii Mei 19, Kwenye Uzinduzi wa Sera ya Mambo ya Nje ya Mwaka 2001 (Toleo la
2024) katika Ukumbi wa JNICC Jijini Dar Es Salaam. Rais Samia amesema wanaharakati waliodhibitiwa katika nchi walizotoka wasituharibie nchi yetu huku akivisihi vyombo vya sheria kuchukua hatua za haraka kila linapotokea jambo la uvunjifu wa Amani.
"Tusiwe Shamba la Bibi kwamba kila mtu anaweza kuja na kusema anachokitaka...lakini la pili tumeona mtiririko wa wanaharakati ndani ya region yetu hii kuanza kuvamia na kuingilia mambo yetu huku sasa kama kwao wameshadhibitiwa wasije kutuharibia huku" ~ Rais Samia.
Hakuna marefu yasiyo na ncha...Police washapewa Go ahead ...mmekwisha wandugu!
Hapa ni Kisiwa cha amani?
Ulafi wa Madaraka na ujinga kwakuwa kashagundua hakubalikiNae atakufa mdomo wazi! Si alizunguka duniani kote kwamba atakuwa mfano wa democracy sasa nini kimempata
Ulafi na si urafi,hakubaliki si hakubarikiUrafi wa Madaraka na ujinga kwakuwa kashagundua hakubariki
NimeulizaUnauliza au unasema, ndugu?
Sasa ulitaka awaachie mbwa hawa mashoga kuja kuchafua amani? mjinga mkubwa wewe hamia Kenya kwenye democracy, hapa toka leta ujinga shughuli utaiona au baki humu kujificha.Nae atakufa mdomo wazi! Si alizunguka duniani kote kwamba atakuwa mfano wa democracy sasa nini kimempata