PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

PreGE2025 Rais Samia: Vyombo vya ulinzi na usalama msiruhusu watovu wa nidhamu (wanaharakati) wa nchi nyingine kuja kutovuka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Natamani angekuwepo JPM hawa angewashughulia sijui wanaharakati, walitaka kumpanda huyu Mama lakini sasa hii kauli ikafanywe kwa vitendo. Ujinga huko
 
Ulafi na si urafi,hakubaliki si hakubariki
Ulafi na sio urafi. Hakubaliki na sio hakubariki .

Hakuna mtu alimpa huyu mama wajibu WA kulinda Amani yetu aseme amejipa mwenyewe wendawazimu WA kudhani anatulinda Sisi Kwanza hatutaki kulindwa Sisi tunataka reform kwenye uchaguzi maendeleo tutayaona after free and fair elections.
 
Upo chali hapo na kifurushi cha jero unaandika tu
 
Ila huyu mama leo ndo nimejua yupo Empty kichwani, yaani hajui kupangalia speech mbele ya halaiki, anaongea kama anataka kupingana na mabeberu lkn akiona nchi alizozunguka na amepewa misaada anafunga mdomo.
Yaani wakati anaongea anasema sijui ""nitaka kusemaje ""
Hapa Rais tumepigwa naungana na akina
Bashiru, Diwani Athumani na Kassim kutaka kumnyima nchi aseee...her head is full nothing.
Hajui aongee nini na kwa wakati gani ?
Hajui aongee nini na kwa nini ?
Hajui aongee nini na wapi ?
Hajui aongee nini na kwa lipi ?
Hajui aongee nini na nani ?
 
Mara hii amesahau kama karume alijificha wakati wa mapinduzi ya zanzibar lakini mwanaharakati kutokea uganda john okelo alitimiza majukumu yake na wakapata uhuru, wale mliokua mnakataa kwamba maagizo hayatoki kwake nadhani sasa amewapa jibu sahihi yeye mwenyewe kwa kinywa chake
 
Ila huyu mama leo ndo nimejua yupo Empty kichwani, yaani hajui kupangalia speech mbele ya halaiki, anaongea kama anataka kupingana na mabeberu lkn akiona nchi alizozunguka na amepewa misaada anafunga mdomo.
Yaani wakati anaongea anasema sijui ""nitaka kusemaje ""
Hapa Rais tumepigwa naungana na akina
Bashiru, Diwani Athumani na Kassim kutaka kumnyima nchi aseee...her head is full nothing.
Hajui aongee nini na kwa wakati gani ?
Hajui aongee nini na kwa nini ?
Hajui aongee nini na wapi ?
Hajui aongee nini na kwa lipi ?
Hajui aongee nini na nani ?

Anashauriwa vibaya.
 
Back
Top Bottom