Ulafi na sio urafi. Hakubaliki na sio hakubariki .Ulafi na si urafi,hakubaliki si hakubariki
eeeeeeeeeeh!!!! weeee Dada wewe mbona una hasira na kuongea maneno makali hivyo? Kulikoni tena?Sasa ulitaka awaachie mbwa hawa mashoga kuja kuchafua amani? mjinga mkubwa wewe hamia Kenya kwenye democracy, hapa toka leta ujinga shughuli utaiona au baki humu kujificha.
Yes,Kama naliona jumba bovu hilo ...
View attachment 3339063
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na wale wengine tuko pale 👉.
Upo chali hapo na kifurushi cha jero unaandika tuUlafi na sio urafi. Hakubaliki na sio hakubariki .
Hakuna mtu alimpa huyu mama wajibu WA kulinda Amani yetu aseme amejipa mwenyewe wendawazimu WA kudhani anatulinda Sisi Kwanza hatutaki kulindwa Sisi tunataka reform kwenye uchaguzi maendeleo tutayaona after free and fair elections.
Hapana Niko talatala lounge na castlelite ya baridi kuna free WiFiUpo chali hapo na kifurushi cha jero unaandika tu
Ndicho ulichokiona tu basi? Sijui nikuiteje?Ulafi na si urafi,hakubaliki si hakubariki
Ila huyu mama leo ndo nimejua yupo Empty kichwani, yaani hajui kupangalia speech mbele ya halaiki, anaongea kama anataka kupingana na mabeberu lkn akiona nchi alizozunguka na amepewa misaada anafunga mdomo.
Yaani wakati anaongea anasema sijui ""nitaka kusemaje ""
Hapa Rais tumepigwa naungana na akina
Bashiru, Diwani Athumani na Kassim kutaka kumnyima nchi aseee...her head is full nothing.
Hajui aongee nini na kwa wakati gani ?
Hajui aongee nini na kwa nini ?
Hajui aongee nini na wapi ?
Hajui aongee nini na kwa lipi ?
Hajui aongee nini na nani ?