Rais Samia Wachukulie hatua wanajeshi wanaofanyafanya vurugu mitaani-Hii ni aibu isiyokubalika hata kidogo!

unawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wame2kuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
Mwananchi yeyote akiwemo meanajeshi asiotenda kwa kujibu washeria unataka aitweje? Wanamlinda nani kama wanapiga watu hovyo? Hivi wanajeshi wapo juu ya Sheria? Bila ushirikiano wawananchi watawez kutekeleza majukumu yao. Kama na wewe ni meanajeshi basi tuna safari ndefu saana.
 
Ni hivi,apo mtapata tabu sana,wajomba wamechafukwa wanapiga adi panzi

Mtabondwa miezi mitatu mfululizo,akiuliwa tu kuluti wa jkt wahuni lazima msakwe nyumba kwa nyumba ad mtajane sembuse kanali

kumuua soja ni tusi kwa chombo
Kwani mtuhumiwa hajakamatwa?
Huo msako wao wanamsaka nani? Jueni hamko juu ya Sheria sababu nchi hii ni yetu sote hamuwezi kuilinda pekeyenu.
Jeshi lijitahidi kuajiri watu wenyewe shule angalau mambo haya yatapungua.
 
Nadhani watanzania tuache kulia lia, tumelia lia kwa miaka 60 na bado tunalia,
Kama baba yako mama yako, babu yako, mtoto wako amepigwa bila kosa na wahuni toka kambini,
Wanaopiga raia wasio na hatia ni wahuni kama wahuni wengine nikupambana nao kihuni tu tumia njia hizi
1. funga mwombe Mungu wapate pigo,
2. nenda kaloge wapate mabusha ya 4g kwa makundi yao,
3. tafuta demu mzuri wa mjeda mpelekee motro hadi amsahau mjeda wake,
4.wanaopiga raia wasio na hatia ni wahuni kama wahuni wengine nikupambana nao kihuni tu
yaani kwa jinsi watu wa serikali hii wanavyoidharau katiba hii ya mkoloni, naona hayo maombi yako ni sawa kabisa na kikao cha panya kuhusu nani atamfunga paka kengele!!
 
unawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wamekuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
Inaelekea hujui kazi ya jeshi ni nini.
Hao wanawake na wazee wanaowapiga huko Kawe wanawalindaje sasa kwa kuwaumiza?
 
Kumuua kanali wa jeshi ni kulitukana jeshi

Kinachofanyika ni kuludisha nidhamu mtaani,zinapigwa virungu adi nzi

Iyo ni oda Toka kwa cdf,ukiona wazee wamezama jua mwenye jeshi lake kajaa sumu,anatamani kutandaza bakora hata kwa raia ote tz
Muuaji ameshakamatwa na sheria inapaswa kuachwa ifanye kazi yake.

Kuonea raia wema kwa kigezo cha kuwatia adabu ni uvunjifu wa sheria,

hii nchi inaendeshwa kwa katiba na sheria.
 
Muuaji ameshakamatwa na sheria inapaswa kuachwa ifanye kazi yake.

Kuonea raia wema kwa kigezo cha kuwatia adabu ni uvunjifu wa sheria, hii inaendeshwa kwa katiba na sheria.
Hata kama angekuwa bado hajakamatwa wasiingilie kazi za Polisi walizopewa uwezo huo na Katiba yetu.

Kazi ya upelelezi ukamataji wa Raia ni kazi ya Polisi na sio Wanajeshi.
 
Kuna siku wewe na mama yako mtatolewa rectum ndiyo utajua ni nini maana ya ustaarabu. Wanajeshi wenye wadogo kama piriton halafu unabwabwaja.
 
Humtakii mama mema wew
 
Bongo hamna wanajeshi wale ni watafutaji tu wa ajira wakaangukia huko, askari ana kitambi, askari mlevi mbwa mpaka anapigwa kisu na raia yupo tu anarembua.

Siku ikitokea vitaz ¾ yao watavua combat.
Acha kulkashifu Jeshi letu la Wananchi angalia Rekodi yao kwenye Medani.
 
unawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wamekuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
We ni mpuuzi tena mbwa koko
Usiyekuwa na akili hata kidogo

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Wew jamaa unaandika ujinga, raia ameua mwajeshi, watu tunaomboleza huku wew unaanfika siasa za kijinga. Jeshini hakuna siasa. Ala vip huyo Aliye uawa angekuwa baba au ndugu ungeaandika utumboa hapa. Wew ni muasi usimupangie Rais kazi Dikteta mkubwa wew we nina umkomand Rais wetu
 
Kitu nilichokuja kujifunza ni kuwa hawa vijana wanajifunza tabia ya uvutaji bangi wakiwa wameshaingia jeshini,maana kabla ya kuingia jeshini huwa kuna vipimo unafanyiwa ili kujiridhisha ujawahi kutumia dawa za kulevya ikiwemo bangi
Hatari sn
 
Yeye mwenyewe anatakiwa kuchukuliwa hatua za miguu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…