City Of Lies
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 4,925
- 6,137
Wajeda wametia aibu sana kutumia nguvu bila akili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeelezea madhara ya kuwa na jeshi lisilo heshimu sheria na maadili jeshi vizuri. Ila umesau kuwa raisi unanee mweleza hawezi kukemea wala kuchukuwa hatuwa za kuadhibu watove wa nidhamu. Kwasababu hao watovu wa nidhamu, na wasio heshimu sheria na maadili ya kazi zao ndio wanao saidia kwenye shughuli za wizi wa kura. Sasa Leo akiwawajibisha akaanza kuogopa kwenda kinyume na miiko Yao ya kazi na uvujaji sheria. Halafu kesho kutwa akawa omba wabebe masaduku ya kura zilizo kwisha kupigwa. Halafu wakataaa kutii maagizo halamu sitiari ameukosa raisi. Mambo haya ya vyombo vya ulinzi na usalama kunyanyasa raia hivita acha mpaka pale wananchi watakapo juwa haki zao na wajibu wao wa kuhakisha viogozi wote wanatokana na kura zao na sivinginevyo.Salaamu kwako Mheshimiwa Rais.
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu
Hata hivyo, Hivi karibuni zimezuka taarifa za wanajeshi wachache, wasiojua miiko na viapo vya kazi yao, wameamua kuvunja sheria na kuingia mtaani na kuanza kupigapiga watu hovyo.
Tukio hili limetokea baada ya kutokea taarifa za kuuawa kwa mwanajeshi na mwananchi baada ya kinachosemekana ugomvi wa raia na mwanajeshi huyo. Baada ya tukio hilo kundi la wanajeshi limeingia mitaani na kuanza kupigapiga raia hovyo eti "kuwatia adabu".
Mheshimiwa Rais naomba nikueleze mambo yafuatayo.
1. Mosi ni aibu kwa jeshi kuvunja sheria, na kukiuka misingi ya kisheria ya uanzishwaji wake.
Katika nchi yoyote, majeshi yanapaswa kuwa ni vyombo vya kinidhamu, mfano bora kwa wananchi na taswira chanya ya kuonyesha namna gani sheria zinavyopaswa kutiiwa. Kitendo cha Wanajeshi kuvunja sheria waziwazi , kinaidhalilisha serikali yako, na kimsingi kinakudhalilisha wewe Amiri jeshi mkuu ambaye leo hii vijana wako wanaingia mitaani na kubehave kama watu wa fujofujo, badala ya watu sober wenye nidhamu ya hali ya juu.
2. Pili, wanajeshi wanaoact kwa utaratibu huu wanaonyesha udhaifu badala ya nguvu, hawatufai, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu
Mheshimiwa Rais, nguvu ya jeshi wala siyo uwezo wake wa kupita mitaani na kupiga wanawake,, watoto, wazee na vijana. Bali uwezo wa jeshi unapimwa kwa namna gani unatii katiba ya nchi, mipango madhubuti ya ulinzi wa Taifa na medani. Kama Jeshi la Wananchi linadhani liko Juu ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linajindanganya sana. Legitimacy yake kwa umma siyo uwezo wa kufanya vurugu mitaani, bali legitimacy yake na heshima yake itapatikana kwa kulinda uhuru wa Taifa letu na kuwa nguzo ya usitawi, na siyo kufanyafanya fujo mitaani.
3. Mheshimiwa Rais, Hata sisi raia ni jeshi la akiba
Kitendo cha watu wachache wenye uniform kuingia mitaani na kupigapiga watu kimsingi ni kama jeshi kupigana na wenzao tu ambao hawana uniform. Pengine wanajeshi wetu, ambao wewe ni Amiri jeshi mkuu wake inapaswa waelewe kuwa, Uniform hizo wanazovaa ni kwa ridhaa yetu, kwamba tumeamua wachache wawe mbele kwenye ulinzi wa Taifa lakini Pindi Taifa likihitaji ulinzi, sisi sote tutakuja front kulilinda. Sasa kitendo cha wachache walio katika uniform kuingia mitaani na kufanyafanya vurugu, ni kitendo cha aibu, kisichovumilika na cha kukemewa na kila mwananchi anayelitakia mema Taifa hili.
4. Mheshimiwa Rais, tukilea tabia hizi za hovyo za baadhi ya wanajeshi kupiga na kuonea raia, ipo siku watafanya tukio kubwa zaidi.
Mheshimiwa rais, mwanzo wa ngoma ni lele, na samaki mkunje angali mbichi. Leo hii tukivumilia vitendo vibaya kabisa visivyo na heshima wala Taswira ya jeshi la Wananchi tunalolijua, ipo siku watafanya jambo baya kabisa katika nchi na kutishia amani na utulivu wa Taifa zima. Ni lazima hatua kali zichukuliwe kwa hawa wachache waiojua nini maadili ya kazi yao ili kulinusuru Taifa dhidi ya wanajeshi wenye mentality za vuruguvurugu kama hawa wanaopita mitaani na kufanya fujo.
Mheshimwa wanajeshi hawa wachache wenye kufanya matendo haya ya kihuni siyo aina ya wanajeshi ambao baba wa Taifa alijivunia kuwa tuna JESHI LA WANANCHI. Tunaomba wahusika wote waliohusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria na kinidhamu.
5. Mheshimiwa Rais hatuwezi kuvumilia Panya Road wa Kiraia, na kamwe hatuwezi kuvumilia panyaroad wa Kijeshi.
Matendo wanayofanya hawa wanajeshi wachache wasio na nidhamu hayana tofauti na matendo wanayofanya vijana wachache wa kiraia wasio na nidhamu waitwao Panyaroad. Hivi inawezekanaje mwanajeshi unaingia mtaani na kuanza kupigapiga klla mtu apitaye. Sasa unataka kuachieve nini?. Kwamba unataka raia wakuogope?, ili iweje na kwa nini?. Mheshimiwa Rais, ili jeshi lifanikiwe linahitaji mgongo wa Raia. Ni mentality potofu kudhani eti Jeshi liko juu ya raia na kwa hivyo wanajeshi wanaweza kupiga, kujeruhi, kuvunjia heshima watu eti kwa sababu ni wanajeshi. Hili tumelikataa na tunalikataa kwa moyo wetu wote. Tunataka Jeshi liendelee kuwa na sifa ya nidhamu na yeyote atakayejiinua ndani ya majeshi yetu na kujifanya panya road wa kijeshi huyo hatufai, avue uniform aingie mtaani akafanya mambo yake huko akakumbane na mkono wa sheria!
Mwisho namalizia kwa kusema kuwa, nina Imani na Mkuu wa Majeshi, nina imani na Mnadhimu wa majeshi na bado nina imani na Jeshi kiujumla. lakini matendo haya yaliyotokea Kawe yamelitia doa jeshi na ni lazima lichukue hatua. Tunahitaji heshima ya jeshi letu iendelee kuwa palepale, na siyo kuwa na vikundi vya reactionaries, wapenda fujo ndani ya komandi, wanaodhani eti kufanya "zali" au "kulianzisha" ndiyo ukamanda wenyewe. Huo siyo ukamanda, bali ni uhalifu. Hao waliohusika wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria mara moja ili tabia hizi za kupigapiga wanachi zikome mara moja, hazikubaliki hata kidogo!
Okay kwahiyo kwa akili zako ndogo nikwamba wakipiga raia, Ruteni atafufuka, Ruteni hatokuwa mlevi , Ruteni hatoanzisha ugomvi mtaani, Ruteni hatomzaba vibao Dereva bajaji, hivyo Ruteni atarudi kambini mtafurahia kufufuka kwake. Wahuni wachache mnadhalilisha jesh Poor logicWew jamaa unaandika ujinga, raia ameua mwajeshi, watu tunaomboleza huku wew unaanfika siasa za kijinga. Jeshini hakuna siasa. Ala vip huyo Aliye uawa angekuwa baba au ndugu ungeaandika utumboa hapa. Wew ni muasi usimupangie Rais kazi Dikteta mkubwa wew we nina umkomand Rais wetu
Yeye mwenyewe anawaogopaSalaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu
Hata hivyo, Hivi karibuni zimezuka taarifa za wanajeshi wachache, wasiojua miiko na viapo vya kazi yao, wameamua kuvunja sheria na kuingia mtaani na kuanza kupigapiga watu hovyo.
Tukio hili limetokea baada ya kutokea taarifa za kuuawa kwa mwanajeshi na mwananchi baada ya kinachosemekana ugomvi wa raia na mwanajeshi huyo. Baada ya tukio hilo kundi la wanajeshi limeingia mitaani na kuanza kupigapiga raia hovyo eti "kuwatia adabu".
Mheshimiwa Rais naomba nikueleze mambo yafuatayo:
1. Mosi ni aibu kwa jeshi kuvunja sheria, na kukiuka misingi ya kisheria ya uanzishwaji wake.
Katika nchi yoyote, majeshi yanapaswa kuwa ni vyombo vya kinidhamu, mfano bora kwa wananchi na taswira chanya ya kuonyesha namna gani sheria zinavyopaswa kutiiwa. Kitendo cha Wanajeshi kuvunja sheria waziwazi , kinaidhalilisha serikali yako, na kimsingi kinakudhalilisha wewe Amiri jeshi mkuu ambaye leo hii vijana wako wanaingia mitaani na kubehave kama watu wa fujofujo, badala ya watu sober wenye nidhamu ya hali ya juu.
2. Pili, wanajeshi wanaoact kwa utaratibu huu wanaonyesha udhaifu badala ya nguvu, hawatufai, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu
Mheshimiwa Rais, nguvu ya jeshi wala siyo uwezo wake wa kupita mitaani na kupiga wanawake,, watoto, wazee na vijana. Bali uwezo wa jeshi unapimwa kwa namna gani unatii katiba ya nchi, mipango madhubuti ya ulinzi wa Taifa na medani. Kama Jeshi la Wananchi linadhani liko Juu ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linajindanganya sana. Legitimacy yake kwa umma siyo uwezo wa kufanya vurugu mitaani, bali legitimacy yake na heshima yake itapatikana kwa kulinda uhuru wa Taifa letu na kuwa nguzo ya usitawi, na siyo kufanyafanya fujo mitaani.
3. Mheshimiwa Rais, Hata sisi raia ni jeshi la akiba
Kitendo cha watu wachache wenye uniform kuingia mitaani na kupigapiga watu kimsingi ni kama jeshi kupigana na wenzao tu ambao hawana uniform. Pengine wanajeshi wetu, ambao wewe ni Amiri jeshi mkuu wake inapaswa waelewe kuwa, Uniform hizo wanazovaa ni kwa ridhaa yetu, kwamba tumeamua wachache wawe mbele kwenye ulinzi wa Taifa lakini Pindi Taifa likihitaji ulinzi, sisi sote tutakuja front kulilinda. Sasa kitendo cha wachache walio katika uniform kuingia mitaani na kufanyafanya vurugu, ni kitendo cha aibu, kisichovumilika na cha kukemewa na kila mwananchi anayelitakia mema Taifa hili.
4. Mheshimiwa Rais, tukilea tabia hizi za hovyo za baadhi ya wanajeshi kupiga na kuonea raia, ipo siku watafanya tukio kubwa zaidi.
Mheshimiwa rais, mwanzo wa ngoma ni lele, na samaki mkunje angali mbichi. Leo hii tukivumilia vitendo vibaya kabisa visivyo na heshima wala Taswira ya jeshi la Wananchi tunalolijua, ipo siku watafanya jambo baya kabisa katika nchi na kutishia amani na utulivu wa Taifa zima. Ni lazima hatua kali zichukuliwe kwa hawa wachache waiojua nini maadili ya kazi yao ili kulinusuru Taifa dhidi ya wanajeshi wenye mentality za vuruguvurugu kama hawa wanaopita mitaani na kufanya fujo.
Mheshimwa wanajeshi hawa wachache wenye kufanya matendo haya ya kihuni siyo aina ya wanajeshi ambao baba wa Taifa alijivunia kuwa tuna JESHI LA WANANCHI. Tunaomba wahusika wote waliohusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria na kinidhamu.
5. Mheshimiwa Rais hatuwezi kuvumilia Panya Road wa Kiraia, na kamwe hatuwezi kuvumilia panyaroad wa Kijeshi.
Matendo wanayofanya hawa wanajeshi wachache wasio na nidhamu hayana tofauti na matendo wanayofanya vijana wachache wa kiraia wasio na nidhamu waitwao Panyaroad. Hivi inawezekanaje mwanajeshi unaingia mtaani na kuanza kupigapiga klla mtu apitaye. Sasa unataka kuachieve nini?. Kwamba unataka raia wakuogope?, ili iweje na kwa nini?. Mheshimiwa Rais, ili jeshi lifanikiwe linahitaji mgongo wa Raia. Ni mentality potofu kudhani eti Jeshi liko juu ya raia na kwa hivyo wanajeshi wanaweza kupiga, kujeruhi, kuvunjia heshima watu eti kwa sababu ni wanajeshi. Hili tumelikataa na tunalikataa kwa moyo wetu wote. Tunataka Jeshi liendelee kuwa na sifa ya nidhamu na yeyote atakayejiinua ndani ya majeshi yetu na kujifanya panya road wa kijeshi huyo hatufai, avue uniform aingie mtaani akafanya mambo yake huko akakumbane na mkono wa sheria!
Mwisho namalizia kwa kusema kuwa, nina Imani na Mkuu wa Majeshi, nina imani na Mnadhimu wa majeshi na bado nina imani na Jeshi kiujumla. lakini matendo haya yaliyotokea Kawe yamelitia doa jeshi na ni lazima lichukue hatua. Tunahitaji heshima ya jeshi letu iendelee kuwa palepale, na siyo kuwa na vikundi vya reactionaries, wapenda fujo ndani ya komandi, wanaodhani eti kufanya "zali" au "kulianzisha" ndiyo ukamanda wenyewe. Huo siyo ukamanda, bali ni uhalifu. Hao waliohusika wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria mara moja ili tabia hizi za kupigapiga wanachi zikome mara moja, hazikubaliki hata kidogo!
Huu ni upupu. Kila baada ya neno unaandika ''mhesimiwa rais'' kuonyesha akili zako zilivyo za mgando na zimeoza kwa uchawa. Huyu unayempelekea malalamiko ndiye aliyewatuma. Ni mara ngapi umesikia wanajeshi wanapiga raia? Umeshajiuliza ni kwa nini hili tatizo haliishi na linajirudia rudia kila siku?
Atathubutu kufungua mdomo wake vipi wakati hata wanajeshi wanajua yeye na chama chake wako madarakani kwa wizi wa kura?Nakuhakikishia kwa 100% Samia hata fungua mdomo wake kukosoa huo uovu wa jeshi.
Mama yetu ni muoga balaaa.
Bas ni hatarii tupuu.Nashangazwa eti tunamuomba mkulu ashugjulikie jeshi
Jeshi hili hili au lingine? Waliokaa kimya na uuzwaji wa rasimali za nchi?
Sasa kwann wasi deal na madereva wa bajaji na boda, watu wengine wana kosa gan?Kumuua kanali wa jeshi ni kulitukana jeshi
Kinachofanyika ni kuludisha nidhamu mtaani,zinapigwa virungu adi nzi
Iyo ni oda Toka kwa cdf,ukiona wazee wamezama jua mwenye jeshi lake kajaa sumu,anatamani kutandaza bakora hata kwa raia ote tz
Umejipendekeza SanaSalaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu
Hata hivyo, Hivi karibuni zimezuka taarifa za wanajeshi wachache, wasiojua miiko na viapo vya kazi yao, wameamua kuvunja sheria na kuingia mtaani na kuanza kupigapiga watu hovyo.
Tukio hili limetokea baada ya kutokea taarifa za kuuawa kwa mwanajeshi na mwananchi baada ya kinachosemekana ugomvi wa raia na mwanajeshi huyo. Baada ya tukio hilo kundi la wanajeshi limeingia mitaani na kuanza kupigapiga raia hovyo eti "kuwatia adabu".
Mheshimiwa Rais naomba nikueleze mambo yafuatayo:
1. Mosi ni aibu kwa jeshi kuvunja sheria, na kukiuka misingi ya kisheria ya uanzishwaji wake.
Katika nchi yoyote, majeshi yanapaswa kuwa ni vyombo vya kinidhamu, mfano bora kwa wananchi na taswira chanya ya kuonyesha namna gani sheria zinavyopaswa kutiiwa. Kitendo cha Wanajeshi kuvunja sheria waziwazi , kinaidhalilisha serikali yako, na kimsingi kinakudhalilisha wewe Amiri jeshi mkuu ambaye leo hii vijana wako wanaingia mitaani na kubehave kama watu wa fujofujo, badala ya watu sober wenye nidhamu ya hali ya juu.
2. Pili, wanajeshi wanaoact kwa utaratibu huu wanaonyesha udhaifu badala ya nguvu, hawatufai, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu
Mheshimiwa Rais, nguvu ya jeshi wala siyo uwezo wake wa kupita mitaani na kupiga wanawake,, watoto, wazee na vijana. Bali uwezo wa jeshi unapimwa kwa namna gani unatii katiba ya nchi, mipango madhubuti ya ulinzi wa Taifa na medani. Kama Jeshi la Wananchi linadhani liko Juu ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linajindanganya sana. Legitimacy yake kwa umma siyo uwezo wa kufanya vurugu mitaani, bali legitimacy yake na heshima yake itapatikana kwa kulinda uhuru wa Taifa letu na kuwa nguzo ya usitawi, na siyo kufanyafanya fujo mitaani.
3. Mheshimiwa Rais, Hata sisi raia ni jeshi la akiba
Kitendo cha watu wachache wenye uniform kuingia mitaani na kupigapiga watu kimsingi ni kama jeshi kupigana na wenzao tu ambao hawana uniform. Pengine wanajeshi wetu, ambao wewe ni Amiri jeshi mkuu wake inapaswa waelewe kuwa, Uniform hizo wanazovaa ni kwa ridhaa yetu, kwamba tumeamua wachache wawe mbele kwenye ulinzi wa Taifa lakini Pindi Taifa likihitaji ulinzi, sisi sote tutakuja front kulilinda. Sasa kitendo cha wachache walio katika uniform kuingia mitaani na kufanyafanya vurugu, ni kitendo cha aibu, kisichovumilika na cha kukemewa na kila mwananchi anayelitakia mema Taifa hili.
4. Mheshimiwa Rais, tukilea tabia hizi za hovyo za baadhi ya wanajeshi kupiga na kuonea raia, ipo siku watafanya tukio kubwa zaidi.
Mheshimiwa rais, mwanzo wa ngoma ni lele, na samaki mkunje angali mbichi. Leo hii tukivumilia vitendo vibaya kabisa visivyo na heshima wala Taswira ya jeshi la Wananchi tunalolijua, ipo siku watafanya jambo baya kabisa katika nchi na kutishia amani na utulivu wa Taifa zima. Ni lazima hatua kali zichukuliwe kwa hawa wachache waiojua nini maadili ya kazi yao ili kulinusuru Taifa dhidi ya wanajeshi wenye mentality za vuruguvurugu kama hawa wanaopita mitaani na kufanya fujo.
Mheshimwa wanajeshi hawa wachache wenye kufanya matendo haya ya kihuni siyo aina ya wanajeshi ambao baba wa Taifa alijivunia kuwa tuna JESHI LA WANANCHI. Tunaomba wahusika wote waliohusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria na kinidhamu.
5. Mheshimiwa Rais hatuwezi kuvumilia Panya Road wa Kiraia, na kamwe hatuwezi kuvumilia panyaroad wa Kijeshi.
Matendo wanayofanya hawa wanajeshi wachache wasio na nidhamu hayana tofauti na matendo wanayofanya vijana wachache wa kiraia wasio na nidhamu waitwao Panyaroad. Hivi inawezekanaje mwanajeshi unaingia mtaani na kuanza kupigapiga klla mtu apitaye. Sasa unataka kuachieve nini?. Kwamba unataka raia wakuogope?, ili iweje na kwa nini?. Mheshimiwa Rais, ili jeshi lifanikiwe linahitaji mgongo wa Raia. Ni mentality potofu kudhani eti Jeshi liko juu ya raia na kwa hivyo wanajeshi wanaweza kupiga, kujeruhi, kuvunjia heshima watu eti kwa sababu ni wanajeshi. Hili tumelikataa na tunalikataa kwa moyo wetu wote. Tunataka Jeshi liendelee kuwa na sifa ya nidhamu na yeyote atakayejiinua ndani ya majeshi yetu na kujifanya panya road wa kijeshi huyo hatufai, avue uniform aingie mtaani akafanya mambo yake huko akakumbane na mkono wa sheria!
Mwisho namalizia kwa kusema kuwa, nina Imani na Mkuu wa Majeshi, nina imani na Mnadhimu wa majeshi na bado nina imani na Jeshi kiujumla. lakini matendo haya yaliyotokea Kawe yamelitia doa jeshi na ni lazima lichukue hatua. Tunahitaji heshima ya jeshi letu iendelee kuwa palepale, na siyo kuwa na vikundi vya reactionaries, wapenda fujo ndani ya komandi, wanaodhani eti kufanya "zali" au "kulianzisha" ndiyo ukamanda wenyewe. Huo siyo ukamanda, bali ni uhalifu. Hao waliohusika wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria mara moja ili tabia hizi za kupigapiga wanachi zikome mara moja, hazikubaliki hata kidogo!
Mbona wanajeshi wakiuwawa huko kwenye kulinda amani huwa hampigi Hadi inzi? Maana kule ndio Kuna wenye silaha wenzenu. Au mnaona sifa kupiga wenye viriba tumbo ili mjione ni jeshi imara? Ukiona jeshi linaona fahari kupiga raia wasio na silaha, siku ikitokea vita itakuwa aibuNi hivi,apo mtapata tabu sana,wajomba wamechafukwa wanapiga adi panzi
Mtabondwa miezi mitatu mfululizo,akiuliwa tu kuluti wa jkt wahuni lazima msakwe nyumba kwa nyumba ad mtajane sembuse kanali
kumuua soja ni tusi kwa chombo
Itoshe kusema hawa bodaboda na Bajaji polisi wameshindwa kuwadhibiti, na limekuwa jeshi linalojitegemea na wanatembea na silaha hatarishi sana Kwa kisingisio Cha self-defense, hii haikubaliki, inabidi jeshi la polisi lijitafakari kuwadhibiti Hawa Watu, sisi raia wa kawaida tupo wadogo kama piritoni, tunawaogopa sana Hawa vijana na wameshasababisha sana maafa na yatazidi huko mbeleni, Mungu ameamua kufanya tukio kubwa la kuuliwa Mtu mkubwa ili tuamke usingizini Kwani tatizo ni kubwa, fikiria Mkuu WA kikosi Cha jeshi unauliwa na dereva Bajaji, huoni Mungu ana kusudio la kuonyesha ukubwa WA tatizo!! Tuamke na Hawa vijana wadhibitiwe, utaratibu na sheriaunawaita wanajeshi wanaokulinda usiku na mchana panya road? Naona wanajeshi wamekuwa wamekuwa wapole sana. Ngedere unayejjambia usiku hujui lolote kuhusu nchi hii unawaita wanajeshi panya road? Subiri utafikiwa we mbwa.
Nawakubali sana Jiewii ila baada ya kufanya msako wa sare zao, kutishia kuhusu uvaaji wa nguo zao na kupiga raia nimewavua vyeo.Salaamu kwako Mheshimiwa Rais
Mheshimiwa Rais, nianze kwa kusema kuwa mimi raia wa Tanzania, nina heshima kubwa kwa Jeshi letu la wananchi. Kazi waliyoifanya kwa miaka zaidi ya 60 ya ulinzi wa Taifa letu ni njema sana, kwa kweli imekuwa msingi na nguzo kuu ya amani na utulivu wa wa Taifa letu
Hata hivyo, Hivi karibuni zimezuka taarifa za wanajeshi wachache, wasiojua miiko na viapo vya kazi yao, wameamua kuvunja sheria na kuingia mtaani na kuanza kupigapiga watu hovyo.
Tukio hili limetokea baada ya kutokea taarifa za kuuawa kwa mwanajeshi na mwananchi baada ya kinachosemekana ugomvi wa raia na mwanajeshi huyo. Baada ya tukio hilo kundi la wanajeshi limeingia mitaani na kuanza kupigapiga raia hovyo eti "kuwatia adabu".
Mheshimiwa Rais naomba nikueleze mambo yafuatayo:
1. Mosi ni aibu kwa jeshi kuvunja sheria, na kukiuka misingi ya kisheria ya uanzishwaji wake.
Katika nchi yoyote, majeshi yanapaswa kuwa ni vyombo vya kinidhamu, mfano bora kwa wananchi na taswira chanya ya kuonyesha namna gani sheria zinavyopaswa kutiiwa. Kitendo cha Wanajeshi kuvunja sheria waziwazi , kinaidhalilisha serikali yako, na kimsingi kinakudhalilisha wewe Amiri jeshi mkuu ambaye leo hii vijana wako wanaingia mitaani na kubehave kama watu wa fujofujo, badala ya watu sober wenye nidhamu ya hali ya juu.
2. Pili, wanajeshi wanaoact kwa utaratibu huu wanaonyesha udhaifu badala ya nguvu, hawatufai, wachukuliwe hatua kali za kinidhamu
Mheshimiwa Rais, nguvu ya jeshi wala siyo uwezo wake wa kupita mitaani na kupiga wanawake,, watoto, wazee na vijana. Bali uwezo wa jeshi unapimwa kwa namna gani unatii katiba ya nchi, mipango madhubuti ya ulinzi wa Taifa na medani. Kama Jeshi la Wananchi linadhani liko Juu ya Wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linajindanganya sana. Legitimacy yake kwa umma siyo uwezo wa kufanya vurugu mitaani, bali legitimacy yake na heshima yake itapatikana kwa kulinda uhuru wa Taifa letu na kuwa nguzo ya usitawi, na siyo kufanyafanya fujo mitaani.
3. Mheshimiwa Rais, Hata sisi raia ni jeshi la akiba
Kitendo cha watu wachache wenye uniform kuingia mitaani na kupigapiga watu kimsingi ni kama jeshi kupigana na wenzao tu ambao hawana uniform. Pengine wanajeshi wetu, ambao wewe ni Amiri jeshi mkuu wake inapaswa waelewe kuwa, Uniform hizo wanazovaa ni kwa ridhaa yetu, kwamba tumeamua wachache wawe mbele kwenye ulinzi wa Taifa lakini Pindi Taifa likihitaji ulinzi, sisi sote tutakuja front kulilinda. Sasa kitendo cha wachache walio katika uniform kuingia mitaani na kufanyafanya vurugu, ni kitendo cha aibu, kisichovumilika na cha kukemewa na kila mwananchi anayelitakia mema Taifa hili.
4. Mheshimiwa Rais, tukilea tabia hizi za hovyo za baadhi ya wanajeshi kupiga na kuonea raia, ipo siku watafanya tukio kubwa zaidi.
Mheshimiwa rais, mwanzo wa ngoma ni lele, na samaki mkunje angali mbichi. Leo hii tukivumilia vitendo vibaya kabisa visivyo na heshima wala Taswira ya jeshi la Wananchi tunalolijua, ipo siku watafanya jambo baya kabisa katika nchi na kutishia amani na utulivu wa Taifa zima. Ni lazima hatua kali zichukuliwe kwa hawa wachache waiojua nini maadili ya kazi yao ili kulinusuru Taifa dhidi ya wanajeshi wenye mentality za vuruguvurugu kama hawa wanaopita mitaani na kufanya fujo.
Mheshimwa wanajeshi hawa wachache wenye kufanya matendo haya ya kihuni siyo aina ya wanajeshi ambao baba wa Taifa alijivunia kuwa tuna JESHI LA WANANCHI. Tunaomba wahusika wote waliohusika wachukuliwe hatua kali kabisa za kisheria na kinidhamu.
5. Mheshimiwa Rais hatuwezi kuvumilia Panya Road wa Kiraia, na kamwe hatuwezi kuvumilia panyaroad wa Kijeshi.
Matendo wanayofanya hawa wanajeshi wachache wasio na nidhamu hayana tofauti na matendo wanayofanya vijana wachache wa kiraia wasio na nidhamu waitwao Panyaroad. Hivi inawezekanaje mwanajeshi unaingia mtaani na kuanza kupigapiga klla mtu apitaye. Sasa unataka kuachieve nini?. Kwamba unataka raia wakuogope?, ili iweje na kwa nini?. Mheshimiwa Rais, ili jeshi lifanikiwe linahitaji mgongo wa Raia. Ni mentality potofu kudhani eti Jeshi liko juu ya raia na kwa hivyo wanajeshi wanaweza kupiga, kujeruhi, kuvunjia heshima watu eti kwa sababu ni wanajeshi. Hili tumelikataa na tunalikataa kwa moyo wetu wote. Tunataka Jeshi liendelee kuwa na sifa ya nidhamu na yeyote atakayejiinua ndani ya majeshi yetu na kujifanya panya road wa kijeshi huyo hatufai, avue uniform aingie mtaani akafanya mambo yake huko akakumbane na mkono wa sheria!
Mwisho namalizia kwa kusema kuwa, nina Imani na Mkuu wa Majeshi, nina imani na Mnadhimu wa majeshi na bado nina imani na Jeshi kiujumla. lakini matendo haya yaliyotokea Kawe yamelitia doa jeshi na ni lazima lichukue hatua. Tunahitaji heshima ya jeshi letu iendelee kuwa palepale, na siyo kuwa na vikundi vya reactionaries, wapenda fujo ndani ya komandi, wanaodhani eti kufanya "zali" au "kulianzisha" ndiyo ukamanda wenyewe. Huo siyo ukamanda, bali ni uhalifu. Hao waliohusika wachukuliwe hatua za kinidhamu na kisheria mara moja ili tabia hizi za kupigapiga wanachi zikome mara moja, hazikubaliki hata kidogo!
Ifike wakati sasa serikali kuu ione umuhimu na hatua za mapema za kupanga mji wa kawe, huu mji wa kawe umekuwa shagalabagalah ingependeza barabara ingepanuliwa kwa kuvunja nyumba na maduka yote yaliyojenga ndani ya barabara, kupanua njia za mitaa.
Sababu kubwa ya kilichotokea ni marehemu kanali kupaki gari lakini njia hakuna ikabidi aombwe atoe gari ndio akahamaki kwanini dereva bajaji anampa order.
Kawe iko hatarishi sana sababu ya maduka ya nafaka kujengwa mpaka barabarani haswa kawe ukwamani malori yanayokuja kushusha nafaka pamoja na daladala zisizokuwa na adabu hupaki barabarani na kuleta foleni kubwa wakati Tanroads wapo, serikali ya mkoa ipo, mtendaji kata yupo, polisi trafiki wapo, latra wapo na wanaona ila hakuna anayechukua hatua.
Jiwe la mpaka wa barabara lipo pale kawe NBc college hakuna namna zaidi ya kupitisha greda na kuvunja nyumba zote zilizojiongeza bila mipango miji.
Kuna shida gani kawe isipewe stendi kubwa ya daladala inayoeleweka, kule walikouziana kina mabula nyuma ya mwamposa kwanini isijengwe stendi kubwa na viwanja vile vipimwe vizuri maana NHC mpaka aombe fedha serikalini kutabaki mapori mpaka lini.
Chalamila chonga barabara vunjia tu watu waliozidi haiwezekani barabara za kawe hata gari moja kupita ni kazi na ni mjini