We *****Sina jibu kwakuwa ww umedanganywa kwamba labda Chadema ingeshiliki ingeshinda Uchaguzi 🤠🤠đź¤
tatizo nyinyi taarifa zenu za Kichadema tu inawafanya hamjui ukweli wa nguvu ya CCM
weka kumbukumbu CCM ipo sana tu miaka 60 ijayo 🤣

Kasumba inatusumbua watanzania wengi, mpaka leo hatuamini kwamba SSH ni rais wa Tanzania, labda siku akiondoka tutajua kuwa kwa miaka 9 tuliongozwa na mwanamama kutoka Kizimkazi.Mwanamke ni Mwanamke tu! Hawezi kujizuia kuropoka!/kama anasuta vile!
Hana hata mshauri mmoja wa mambo ya diplomasia!
Kwa hiyo akisema uasi,tayari unakuwa Uasi!Basi kungekuwa na kesi nyingi mahakamani za mauaji!Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Kwa hiyo akisema uasi,tayari unakuwa Uasi!Basi kungekuwa na kesi nyingi mahakamani za mauaji!
"...Sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu..."Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)...
Kwamba Lissu kutamka vile ni makosa kisheria? Na je, makosa ya uhaini??Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Kwamba Lissu kutamka vile ni makosa kisheria? Na je, makosa ya uhaini??
Ila yeye ndiye yupo juu ya sheria sio?Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026
View attachment 3628048
"Kwa upande mwingine, mabadiliko ya sera za kiuchumi, matamko na mwelekeo wa kisiasa duniani unaziweka nchi zetu zinazoendelea katika hali ngumu ya ushindani na pengine kupigwa vita.
Tulishamshikia mtu mmoja mkubwa tu wa nchi moja, anasema, 'Sisi yeyote anayeendelea kimaendeleo kwa kasi, huyo ni adui yetu.' Kwa hiyo, jinsi nchi zetu hizi zinazoendelea tunavyokwenda mbele, wengine wanaangalia njia na mbinu za kutuvuta nyuma ili tusiende kwa kasi ile ambayo tunakusudia.
Tunashuhudia mataifa yakihujumiana. Tunashuhudia vijana kulaghaiwa na kumezeshwa sumu dhidi ya mataifa yao, na kushawishiwa kuhujumu uchumi zao zilizojengwa kwa nguvu kubwa.
Vilevile, kuna wimbi la kuwaaminisha vijana kwamba serikali zao, hasa za Afrika, hazifuati au zinakiuka haki za binadamu. Sasa hapa, nataka tuukumbushe tu ulimwengu, lakini na watu wetu wajue kwamba kwa upande wa Tanzania sisi ni wafuasi wazuri sana wa haki za binadamu.
Mtakumbuka kwamba sisi Tanzania tuliweka kwa mara ya kwanza kwenye katiba yetu ule mtiririko wa haki za binadamu pale tulipobadilisha sheria mwaka gani? 1988? 84? Eeh, tuliweka mtiririko wa haki za binadamu. Na tukatanua uwigo wa haki hizo.
Lakini pamoja na hayo, tumetunga sheria nyingine nyingi ambazo zimekwenda kulinda na kuweka nguvu ya utekeleza haki hizo za mwanadamu. Kubwa zaidi, tumetoa nafasi kubwa kwa wananchi wetu pale wanapohisi haki zao za binadamu zinavunjwa, watumie mahakama kwenda kudai au kutetea haki yao. Kwa hiyo, kwa upande wetu sisi Tanzania, kwa muda mrefu tunazo hizo haki za binadamu.
Sasa haya yanayosemwa na mengine yatakayoendelea kusemwa, sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu. Ila, wanasema 'give the dog a bad name' ili ufanyeje? Umuue. Ukitaka kumuua mbwa, mpe jina baya. Basi jamii yote itamzunguka ifanyeje? Imuue. Kwa hiyo, lakini vyenginevyo sisi Tanzania tuko vizuri kwenye haki za binadamu.
Na uzuri ni kwamba, hakuna aliye juu ya sheria zetu zilizoweka hizo haki za binadamu—zilizowekwa kwa sheria—na sheria nyinginezo zote. Hakuna aliye juu ya sheria zetu. Anayevunja sheria, atashughulikiwa. Atashughulikiwa.
Kwa hiyo, kwa Tanzania sisi tuko vizuri. Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria. Kila anayevunja sheria, anashughulikiwa."
Unapata tabu kujikandika ilo dude , njoo private nikupe connection vijana wakakufumuwe wakulime choo .
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC), Julai 13, 2026