Rais Samia: Waendelee kusema hakuna haki, tunavunja haki, lakini hakuna aliye juu ya sheria

We *****
 
Mwanamke ni Mwanamke tu! Hawezi kujizuia kuropoka!/kama anasuta vile!

Hana hata mshauri mmoja wa mambo ya diplomasia!
Kasumba inatusumbua watanzania wengi, mpaka leo hatuamini kwamba SSH ni rais wa Tanzania, labda siku akiondoka tutajua kuwa kwa miaka 9 tuliongozwa na mwanamama kutoka Kizimkazi.
 
Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Kwa hiyo akisema uasi,tayari unakuwa Uasi!Basi kungekuwa na kesi nyingi mahakamani za mauaji!
 
Rais Samia ameyasema hayo wakati akihutubia katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Mawakili wa Serikali katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Arusha (AICC)...
"...Sisi we know how best we are. Lakini hata ulimwengu unajua. Hata ulimwengu unajua sisi tuna uzuri gani au kiasi gani katika kuangalia haki za binadamu..."
 
Acheni uongo,Lissu alisema atavuruga uchaguzi,atahamasisha uhasi na kukinukisha. Mnachagua maneno machache..ongeeni yote. Kwanini alipanga na kushawishi wahuni kuvuruga uchaguzi?
Kwamba Lissu kutamka vile ni makosa kisheria? Na je, makosa ya uhaini??
 
Ila yeye ndiye yupo juu ya sheria sio?
 


Sio kweli huyu Mama kachanganyikiwa na pesa ya rushwa. Hakuna aliyepo juu ya sheria imekuwaje wezi wa kura tena nje nje wamapata uongozi? kwa sheria zipi. Inakuwaje wanaoteka hawakamatwi kama walikuwa wanamsema Mama fake, inakuwaje mtu bila hatia anawekwa ndani ya gereza kwa miaka miwili !!!! Yaani ni ujinga ujinga. Huwezi kuwa na sheria za upande mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…