Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule?
======
Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia alifika Kariakoo mara moja, wakati haikuwa hivyo. Rais Samia alimrekebisha kuwa alifika mara mbili na kuongezea kuhusu kuungua kwa soko la Kariakoo.
“…. Amesema alinianialika Kariakoo kasema kwamba umekuja Kariakoo mara moja tu nataka nimkumbushe nilikuja Kariakoo kusalimia wafanyabiashara na mara baada ya kuondoka siku 2 baadaye soko mkalitia moto, na mlilitia moto kwasababu nilizisema changamoto za uongozi uliookuwepo na mambo yaliyokuwa yakifanyika ndani ya soko na kuwataka vyombo vinavyohusika kufanya uchunguzi ndani ya soko
“Sasa ili kupoteza ushahidi mkaamua kutia moto lile soko. Kwahiyo hiyo ilikuwa ziara yangu ya kwanza. Lakini kwa ujasiri nikasema nalijenga tena hili soko.”
Rais Samia ameyasema hayo leo Januari 30, 2025 alipokuwa katika hafla ya chakula cha mchana na waliosaidia kwenye zoezi la uokoaji wakati wa ajali ya kuporomoka soko la Kariakoo.
Rais wa Tanzania Dk Samia leo akiongea wakati wa chakula cha kuwapa Pole waathirika wa kuangukiwa na ghorofa Kariakoo amebanisha kuwa kuungua kwa soko la Kariakoo kulitokana na yeye kufanya ziara sokoni hapo na kukuta ubadirifu na wizi mkubwa hivyo akaagiza uchunguzi ufanyike mara moja na wahusika wachukuliwe hatua.
Hata hivyo baada ya maagizo hayo wahusika waliamua kulichoma moto soko ili kupoteza ushahidi wa nyaraka mbalimbali zinazoonyesha wizi wao. Pamoja na hayo Rais Samia aliamua kulijenga upya soko hilo na kuwa la kimataifa zaidi.
My take: kwa nini hawa wachomaji wa soko hawajafikishwa mahakamani?
Hili TAIFA ni rahisi sana kuliongoza kwaua kama president unasimulia tukio kisha akuna maamuzi yyte utafanya kwa maslahi ya TAIFA. No mahamakani kwa walifu na mafisadi.
KAZI ni kipimo cha UTU
Alaaaah, kumbe wafanyabiashara walichoma soko la Kariakoo wenyewe? Hii ndio sababu hatujui ndani ya kilichokuwemo kwenye ripoti rya tukio la moto ule?
======
Moja ya mambo aliyosema mwenyekiti wa kariakoo katika risala yake ni kuhusu ziara ya Samia Kariakoo, ambako alisema Rais Samia alifika Kariakoo mara moja, wakati haikuwa hivyo. Rais Samia alimrekebisha kuwa alifika mara mbili na kuongezea kuhusu kuungua kwa soko la Kariakoo.
“…. Amesema alinianialika Kariakoo kasema kwamba umekuja Kariakoo mara moja tu nataka nimkumbushe nilikuja Kariakoo kusalimia wafanyabiashara na mara baada ya kuondoka siku 2 baadaye soko mkalitia moto, na mlilitia moto kwasababu nilizisema changamoto za uongozi uliookuwepo na mambo yaliyokuwa yakifanyika ndani ya soko na kuwataka vyombo vinavyohusika kufanya uchunguzi ndani ya soko
“Sasa ili kupoteza ushahidi mkaamua kutia moto lile soko. Kwahiyo hiyo ilikuwa ziara yangu ya kwanza. Lakini kwa ujasiri nikasema nalijenga tena hili soko.”
Rais Samia ameyasema hayo leo Januari 30, 2025 alipokuwa katika hafla ya chakula cha mchana na waliosaidia kwenye zoezi la uokoaji wakati wa ajali ya kuporomoka soko la Kariakoo.
Hili TAIFA ni rahisi sana kuliongoza kwaua kama president unasimulia tukio kisha akuna maamuzi yyte utafanya kwa maslahi ya TAIFA. No mahamakani kwa walifu na mafisadi.
KAZI ni kipimo cha UTU
Yani ni rais aamue tu. Ripoti za CAG watuhumiwa wapo, takukuru ipo lakini kwa sababu hajaamua eeh akina baba na akina mama endeleeni kula ila msirudie kula sana.
Soko wanachoma, vyombo vya usalama vipo, lakini kwakuwa hajasema wakamatwe basi mambo yanaendelea and the list goes on.
Ndiyo maana china imeendelea. Ukizingua your life is on the line.
Wanaochoma soko wanatofauti gani na wale waliodaiwa eti walikuwa wanataka kufanya ugaidi kwa kuchoma vituo vya mafuta? Hawa mbona hawakufikishwa mahakamani hata kwa kesi ya kuhujumu uchumvi na kuharibu mali za watu.