Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Rais Samia amesema wakati anakabidhiwa dhamana ya kuongoza nchi, mradi wa bwawa la Nyerere na SGR vilimuumiza kichwa kwa pesa zilizokuwa zinahitajika lakini sasa anazo pesa mpaka za kuifikisha Kigoma. Pia Rais Samia ameahidi umeme kutoka bwawani mapema mwakani.
"Kila nikiangalia mapesa yanayohitajika pale nasema Mungu wangu, Mungu saidia Samia ntapata wapi pesa hizi! Lakini kwenye nia kuna njia, leo SGR nna pesa mpaka lot ya 6 kufika Kigoma, sikutegemea"
Soma pia: Uzi mkuu unaoonesha yaliyojiri kwenye mradi wa SGR tangu kuanza kwake mpaka mradi ulipofikia hivi sasa
Alisema Rais Samia