Kuna kitu huaga sikielewi kabisa, labda na mimi ningekua serikalini huenda ningebweteka hivo. Azania bank inamilikiwa kwa sehemu kubwa na mashirika ya hfadhi ya jamii, NSSF na PPF, kiwanda cha sukari (bila kujali kwamba yalikua matamko ya kisiasa au laa ) kinamilikiwa na NSSF na PPF, zile ni pesa za NSSF na PPF na hao hao ndio wenye Azania bank, so wanaacha tu kiwanda kife and hence pesa zao zipotee hivi hivi tu kwasababu mwanzilishi wa wazo la kiwanda hicho kafariki? Msukuma akiwadharau Wasomi anakua kakosea wapi? Anyway, kama match ya Yanga na Simba iliahirishwa kwasababu za matajiri, matajiri hao hao hawawezi kushindwa kuzuia sukari isitengenezwe Tanzania. RIP Magufuli