Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

Ndio maanaNSSF na PPF wanashindwa kulipa mafao ya wastaafu kwa uwekezaji wa aina hii!
Juzi waziri wa fedha anasema Mama amesikia kilio cha wastaafu - suluhu nikuwekeza katika hati fungani za serikali!
Yaani serikali imekopa fedha za mifuko, imeshindwa kulipa halafu unageuza madeni hayo kuwa hati fungani (deni la aina nyingine kwa serikali) Tena anasema zitaanza kuiva baada ya miaka miwili, So wastaafu hakuna kulipwa hadi miaka 2!

Ushuari wangu, wabunge wakimaliza kipindi cha miaka mitano, hayo mafao yao yageuzwe kuwa hati fungani kama kweli hiyo ni lugha nzuri.
 
mwendazake alikuwa akiruka jumla jumla na wwtendaji mnapiga yowe.

wacha mama akawabembeleze waanze kuunda sukari.
 
Ndio maanaNSSF na PPF wanashindwa kulipa mafao ya wastaafu kwa uwekezaji wa aina hii!
Juzi waziri wa fedha anasema Mama amesikia kilio cha wastaafu - suluhu nikuwekeza katika hati fungani za serikali!
Yaani serikali imekopa fedha za mifuko, imeshindwa kulipa halafu unageuza madeni hayo kuwa hati fungani (deni la aina nyingine kwa serikali) Tena anasema zitaanza kuiva baada ya miaka miwili, So wastaafu hakuna kulipwa hadi miaka 2!

Ushuari wangu, wabunge wakimaliza kipindi cha miaka mitano, hayo mafao yao yageuzwe kuwa hati fungani kama kweli hiyo ni lugha nzuri.
Nchi ngumu sana hii.
Wanasiasa wanaamua mambo ya kitaalam bila kushirikisha wataalam.
 
Hapo awali NSSF na PPF walijikita kujenga majengo na kuyapangisha.
Lakini rais Magufuli mwendazake aliwataka kujikita kujenga viwanda. Matokeo yake ndiyo haya hapa.
Hata kujenga Majengo sio biashara endelevu. Wizi mtupu. Kuna majengo mengi yako wazi hayana wapangaji
 
Ni mbaya sana na dhulma kubwa kwa wastaafu kuteseka kwa kutolipwa mafao yao kwa wakati, huku wanaoziongoza NSSF na PPF wananeemeka na kushiba.
 
Kuna kitu huaga sikielewi kabisa, labda na mimi ningekua serikalini huenda ningebweteka hivo. Azania bank inamilikiwa kwa sehemu kubwa na mashirika ya hfadhi ya jamii, NSSF na PPF.

Kiwanda cha sukari (bila kujali kwamba yalikua matamko ya kisiasa au laa) kinamilikiwa na NSSF na PPF, zile ni pesa za NSSF na PPF na hao hao ndio wenye Azania bank, so wanaacha tu kiwanda kife and hence pesa zao zipotee hivi hivi tu kwasababu mwanzilishi wa wazo la kiwanda hicho kafariki?

Msukuma akiwadharau Wasomi anakua kakosea wapi? Anyway, kama match ya Yanga na Simba iliahirishwa kwasababu za matajiri, matajiri hao hao hawawezi kushindwa kuzuia sukari isitengenezwe Tanzania. RIP Magufuli
Msukuma mara nyngi huwa anasema ukweli.

Watu wasomi wanaacha kutumia usomi wao kushauri wanasiasa, wao ndiyo wanashauriwa na wanasiasa jinsi ya kufanya.
 
Yaani, inasikitisha sana na kiwanda kilianzishwa kisiasa zaidi, kwa kuchukua pesa za mifuko ya pensheni za wazee wetu bila plani makini za uwekezaji, sasa mwisho imekuwa vilio na kusaga meno... kaaazi kwelikweli.
Sana.
Kitila anakwenda kukagua kiwanda cha Bakhresa Bagamoyo, wakati cha kwao kinaoza.
 
Wabunge nao nafikiri, wawe wanasubiri madai yao kama wengine....
Ndio maanaNSSF na PPF wanashindwa kulipa mafao ya wastaafu kwa uwekezaji wa aina hii!
Juzi waziri wa fedha anasema Mama amesikia kilio cha wastaafu - suluhu nikuwekeza katika hati fungani za serikali!
Yaani serikali imekopa fedha za mifuko, imeshindwa kulipa halafu unageuza madeni hayo kuwa hati fungani (deni la aina nyingine kwa serikali) Tena anasema zitaanza kuiva baada ya miaka miwili, So wastaafu hakuna kulipwa hadi miaka 2!

Ushuari wangu, wabunge wakimaliza kipindi cha miaka mitano, hayo mafao yao yageuzwe kuwa hati fungani kama kweli hiyo ni lugha nzuri.
 
Kila siku nawaambia mtu anaepokea salary yuko kwenye comfort zone hawezi kuja na biashara ikatoa tija,never ever
Yaaani umemaliza kila kitu hapa. Mtu ambaye yeye hela haimuumi mshahara wake upo pale pale hakuna siku akafanya biashara yenye tija

Tumeyaona kila shirika la umma linaloanzishwa ila bado tu hawasikii. Wale wafanyakazi hawana uchungu na hiyo hela(Tuliona kule mabasi ya mwendokasi pia yanaharibika wamayatelekeza)

Ingekua ni mtu binafsi amefukia hela zake hapo mbona kiwanda kingewaka tu kwa njia zozote kingefanya kazi
 
Hivi Mama mnamuona mwepesiiii, mbona 2020 june kama hii HAMKUTISHIA.
Halafu ile janja ya hapo ya viongozi kujimilikisha vitalu na kuvikodi na mengine msifikiri havijulikani, tunalima nyanya na tunaripoti pia.

Kama kuna kidume aende akabomoe.
Mama hafanyikazi kwa VITISHO bora mungitumia lugha nyingine.
Full stop. Tukutane Dakawa mnadani kuchoma mbuzi
 
Yaani, inasikitisha sana na kiwanda kilianzishwa kisiasa zaidi, kwa kuchukua pesa za mifuko ya pensheni za wazee wetu bila plani makini za uwekezaji, sasa mwisho imekuwa vilio na kusaga meno... kaaazi kwelikweli.
Yalikuwa maamuzi ya kukurupuka na ya kisiasa sana.
 
Toka awali walisaini mkataba wa kukopesha hao wakulima. Hakuna asiyefahamu kuwa mambo mengi yalifanywa kwa shinikizo la kisiasa.
Sasa nani alaumiwe, mwanasiasa au mtaalamu anayemsujudia mwanasiasa?
Mwanasiasa ndio alaumiwe. Unataka tulaumu mtaalamu, ungekuwa wewe ungekubali mwili wako kuokotwa kwenye gunia ufukweni?
 
Kiwanda kilianzishwa kwa matamko ya Rais mwendazake, thats why tunaiambia Ikulu ichukue maamuzi.
Mkuu hii ni awamu ya 6,awamu inayoijenga nchi kwa msingi wa kisheria na vema tukamsaidia Rais ili tuende mbele na hatuwezi kila kitu tukasukumia kwake pekee.
 
Kama kiwanda kilianzishwa kwa tamko la Ikulu na Rais ana wasaidizi ambao wanaonekana hawana msaada kwanini asiingilie ?

Hio ndio gharama ya kuwa Supreme Leader.
Ndio maana tunahitaji TAASISI imara sio kuwa na super President
 
Mkuu hii ni awamu ya 6,awamu inayoijenga nchi kwa msingi wa kisheria na vema tukamsaidia Rais ili tuende mbele na hatuwezi kila kitu tukasukumia kwake pekee.
Sawa,
Ila matamko ya kuwataka wakulima walime miwa na kuiamrisha Azania iwape mikopo yalitokea Ikulu, na kwa sababu wakulima wameumizwa hawana budi kukimbilia Ikulu. Haijarishi ni awamu ya ngapi kwani Ikulu haina awamu ila ni taasisi.
 
Hivi Mama mnamuona mwepesiiii, mbona 2020 june kama hii HAMKUTISHIA.
Halafu ile janja ya hapo ya viongozi kujimilikisha vitalu na kuvikodi na mengine msifikiri havijulikani, tunalima nyanya na tunaripoti pia.

Kama kuna kidume aende akabomoe.
Mama hafanyikazi kwa VITISHO bora mungitumia lugha nyingine.
Full stop. Tukutane Dakawa mnadani kuchoma mbuzi
Hupo sawa lakini haupo sahihi.
 
Back
Top Bottom