Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si anajua upuuzi alio nao na uhalisia uliopo.Ni watu wazima na elimu zao ila upuuzi umejaa vichwani.Mpaka huoni elimu yao ina manufaa gani kwa jamii.Nchi ngumu sana hii Adrenaline(emegency gland).
Pale Msowero watu wamelima miwa, lakini barabara ya kupita gari likabebe miwa ni mbovu.
Kabudi kaitwa juzi kama mbunge, hakwenda katuma mwakilishi.
Hakuna pressure hapa, ni thread kama thread nyingine tu mkuu.Sychronization haikuwepo hapo, ni sawa kutaka kuonga ugali, maji yapo, unga upo, gas imeisha.. Lazima vyote viwepo at the same time. Mama yetu atakuwa kasikia, tusimpe pressure hivyo
Tutaongea yote lakini mwisho tukubaliane kuwa serikali haiwezi kufanya biashara! Huo ndio ukweli.Mkuu si kimeazishwa na kipo wew unataka kiazishwe kwa Matamko ya nani maan hata mdogo wako anaweza kupta kazi Yao au yule mjomba wako anaweza kupeleka miwa yake hapo akapata pess ya kununua chumvi, cha msingi kinachotakiwa ni marekebisho ya kawaida ili kuingia Kwenye production ,Amna project inayoanzishwa ikaenda smooth hata wew ukianza project lazima upate changamoto
Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?Ndani ya Mkoa unakaa masaa kumi na mbili kufika ..halafu unasikia uchumi wa kati.
Malinyi kule wangefikishiwa Lami ya Uhakika au Ilonga huko.Upuuzi mtupu..unaenda kujenga ujinga.Kilombero ,,Mtibwa Kagera na Moshi TPc zinafanya nini?
Kabudi hakufanikisha manunuzi ya korosho,alileta kampuni ambayo ilithibitika kuwa ahina uwezo wa kununua korosho na hazikununuliwa.
Ipo Morogoro-KilosaMbigiri ipo mkoa gani mkuu? Halafu jambo lolote linaloanzishwa na serikali hususani linalohusu biashara ni jambo la kuwa nalo makini sana.
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Kabudi hafaiUpo sahihi sasa tutegemee Prof. Palamagamba Kabudi amejifunza kupitia saga la Korosho kutafuta na hivyo kupata umakini katika ufumbuzi wa kero ya wakulima hawa wa miwa waliotelekezwa huko Morogoro.
Kabudi hafai
Serikali ijiepushe kufanya biashara kama hizi. Kuna risks nyingi sana. Na kwasababu ya kukosa weledi, hasara zinaweza kuleta shida mbele ya safari
Kama hulioni hilo, basi utakuwa na tatizo.Inawezekana mawazo yako yapo sawa, lakini si sahihi.
Kumbe inawezekana.Uwezekano hupo, na hata baadhi yao wamefanya hivyo. Maana baada ya hali kuwa mbaya sana ilibidi kipengere fulani cha mkataba kibadirishwe na kuwaruhusu wakauze Mtibwa.
Tatizo ni kwamba;
1. Kiwanda cha Mtibwa hakina huwezo mkubwa maana hata 'outgrowers' wa Mtibwa huwa wanagombea nafasi ya kuuza miwa pale.
2. Gharama ya usafirishaji kutoka Kilosa mpaka Mtibwa ni issue, inaongeza gharama nje ya mkataba.
Nilishaiona mkuu wangu 'Yoda', na kuna mahala nimekwishaitolea mfano kabisa hapa hapa kwenye mada yenyewe.Aione @Kalamu1
Benki ya Azania inamilikiwa na hizo taasisi za hifadhi ya jamii.....hicho kiwanda kinajengwa na pesa za hifadhi ya jamii......kwahiyo Azania inawezekana wanajua ya ndani huko hivyo wakasitisha kuendelea kuchoma hela....ukichangia na upigaji wa wafanyakazi wa taasisi za uma .....benki wameshtuka ...well ni mawazo yangu tuuHuwezi lazimisha benki kutoa mkopo, we ulisikia wapi? Benki inafanya analysis na assessment yenyewe. Kwanza ningekuwa nahusika kwenye hiyo benki tangu mwanzo sitoi mkopo kwa kauli za kisiasa.
Morogoro -Mahenge ni Kms 297.56 ila mpaka kufika huko ukitoka hapo Msamvu kumi na mbili kipindi cha kiangazi ukiwahi ni Saa Kumi jioni.Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Mawazo yako yanaheshimiwa.Benki ya Azania inamilikiwa na hizo taasisi za hifadhi ya jamii.....hicho kiwanda kinajengwa na pesa za hifadhi ya jamii......kwahiyo Azania inawezekana wanajua ya ndani huko hivyo wakasitisha kuendelea kuchoma hela....ukichangia na upigaji wa wafanyakazi wa taasisi za uma .....benki wameshtuka ...well ni mawazo yangu tuu
Na hapo unazungumzia kiangazi...........nenda masika waweza tumia hata siku mbili. Zile TATA zinanasa njiani na mtalala porini.Morogoro -Mahenge ni Kms 297.56 ila mpaka kufika huko ukitoka hapo Msamvu kumi na mbili kipindi cha kiangazi ukiwahi ni Saa Kumi jioni.
Morogoro to Malinyi Kms 369.73 ukitoka hapo Msamvu mpaka unaiona Malinyi almost saa kumi na moja jioni.
Hapa nazungumzia vipindi vya kiangazi,nenda Masika huko.
Kama umeuliza kwa kujifunza ni hayo tu.Shida sio Kms 600.Ni kilometres hizo lakini Miundominu ni Mibovu.Na hata baadhi ya sehemu huko Mawasiliano ni shida sana.
Asante Mkuu ,kuna mdau aliuliza nimejaribu kumjibu hapo.Mkoa wa Morogoro kuna namna upo..Na hapo unazungumzia kiangazi...........nenda masika waweza tumia hata siku mbili. Zile TATA zinanasa njiani na mtalala porini.
Wakulima hawa wameshawishiwa na serikali kulima miwa.Ni mtego mkubwa maana ni mbunge wa jimbo tajwa lenye dhahama ya miss kukosa soko na pia waziri wa sheria na katiba ambayo masuala mtambuka kama benki ya Azania inawasakama wanyonge hawa wakulima wa miwa kwa 'madeni' pia.
Hii scenario inaweza kupelekea mtu kutumbuliwa, ukisikia unatupiwa kamba utangeneza kitanzi chako mwenyewe, ndiyo mazingira ya mbunge huyu wa Mbigiri-Kilosa Morogoro Tanzania.