Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

Kuna kitu huaga sikielewi kabisa, labda na mimi ningekua serikalini huenda ningebweteka hivo. Azania bank inamilikiwa kwa sehemu kubwa na mashirika ya hfadhi ya jamii, NSSF na PPF, kiwanda cha sukari (bila kujali kwamba yalikua matamko ya kisiasa au laa ) kinamilikiwa na NSSF na PPF, zile ni pesa za NSSF na PPF na hao hao ndio wenye Azania bank, so wanaacha tu kiwanda kife and hence pesa zao zipotee hivi hivi tu kwasababu mwanzilishi wa wazo la kiwanda hicho kafariki? Msukuma akiwadharau Wasomi anakua kakosea wapi? Anyway, kama match ya Yanga na Simba iliahirishwa kwasababu za matajiri, matajiri hao hao hawawezi kushindwa kuzuia sukari isitengenezwe Tanzania. RIP Magufuli
Hapa ni kama maigizo fulani hivi.........kwa sababu asilimia 96(96%) ya kiwanda inamilikiwa na NSSF na PPF na 4% inamilikiwa na jeshi la magereza. Na kama ulivyosema, Azania inamilikiwa na PPF na NSSF.
Cha ajabu, Azania benki wanasema hawalipi pesa mpaka kiwanda kimalizike na hapo awali walisaini mkataba wa kutoa mkopo.
 
Umeongea vema sana. Mwendazake akishirikiana na akina Erio walipiga pesa kwa kuleta mashine mbovu. Hadi sasa mashine hipo Brazil na India. Uwekezaji wa ovyo kabisa ulifanyika Mkulazi.
Aisee!
Sasa wakulima ndiyo wanabeba mzigo wa mpuuzi wote waliofanya viongozi waliopita bila kupingwa.
Nchi ya ajabu hii!
 
Kiwanda kilianzishwa kwa matamko ya Rais mwendazake, thats why tunaiambia Ikulu ichukue maamuzi.
Mkuu si kimeazishwa na kipo wew unataka kiazishwe kwa Matamko ya nani maan hata mdogo wako anaweza kupta kazi Yao au yule mjomba wako anaweza kupeleka miwa yake hapo akapata pess ya kununua chumvi, cha msingi kinachotakiwa ni marekebisho ya kawaida ili kuingia Kwenye production ,Amna project inayoanzishwa ikaenda smooth hata wew ukianza project lazima upate changamoto
 
Serikali ijiepushe kufanya biashara kama hizi. Kuna risks nyingi sana. Na kwasababu ya kukosa weledi, hasara zinaweza kuleta shida mbele ya safari
Exactly.
Kama hapa wanashindwa kumalizia kiwanda ili wakulima wapeleke miwa yao kuuza hapo kiwandani.
Imewasababishia wakulima kushitakiwa na wakandarasi na kuongezewa riba 6% na Azania benki kama adhabu.
Very risk.
 
Kuna kitu huaga sikielewi kabisa, labda na mimi ningekua serikalini huenda ningebweteka hivo. Azania bank inamilikiwa kwa sehemu kubwa na mashirika ya hfadhi ya jamii, NSSF na PPF, kiwanda cha sukari (bila kujali kwamba yalikua matamko ya kisiasa au laa ) kinamilikiwa na NSSF na PPF, zile ni pesa za NSSF na PPF na hao hao ndio wenye Azania bank, so wanaacha tu kiwanda kife and hence pesa zao zipotee hivi hivi tu kwasababu mwanzilishi wa wazo la kiwanda hicho kafariki? Msukuma akiwadharau Wasomi anakua kakosea wapi? Anyway, kama match ya Yanga na Simba iliahirishwa kwasababu za matajiri, matajiri hao hao hawawezi kushindwa kuzuia sukari isitengenezwe Tanzania. RIP Magufuli
Na ukiangalia ni marekebisho mdogo tu ili ingie Kenya production
 
Aulizwe mwendazake maana yeye na hao wanojiita nssf ndio walikuja na mradi hewa.

Shirika la hifadhi za jamii na kilimo wapi na wapi
 
Mkuu si kimeazishwa na kipo wew unataka kiazishwe kwa Matamko ya nani maan hata mdogo wako anaweza kupta kazi Yao au yule mjomba wako anaweza kupeleka miwa yake hapo akapata pess ya kununua chumvi, cha msingi kinachotakiwa ni marekebisho ya kawaida ili kuingia Kwenye production ,Amna project inayoanzishwa ikaenda smooth hata wew ukianza project lazima upate changamoto
Hupo sahihi, lakini unapoanzisha project kubwa kama hii then changamoto ulizozisababisha zinamuumiza mtu mwenye maisha ya chini mkulima......wewe tukuitaje?
 
Serikali ijiepushe kufanya biashara kama hizi. Kuna risks nyingi sana. Na kwasababu ya kukosa weledi, hasara zinaweza kuleta shida mbele ya safari
Wakome kabisa na wabinafsishe bora hata wamuzuuzie Baressa wao wajikite kwenye Kodi tuu,huu ni upuuzi Sana.

Serikali na biashara wapi na wapi? Kazi ya kutoa huduma wamemaliza?
 
Mkuu si kimeazishwa na kipo wew unataka kiazishwe kwa Matamko ya nani maan hata mdogo wako anaweza kupta kazi Yao au yule mjomba wako anaweza kupeleka miwa yake hapo akapata pess ya kununua chumvi, cha msingi kinachotakiwa ni marekebisho ya kawaida ili kuingia Kwenye production ,Amna project inayoanzishwa ikaenda smooth hata wew ukianza project lazima upate changamoto
Hapo bado operations bado kitafeli Sana tuu
 
Bandiko zuri lililoshiba vithibitisho vyote, Prof. Palamagamba Kabudi mbunge ambaye pia ni waziri, aishauri serikali iwajibike kununua miwa hii kama alivyohangaika na suala la soko la korosho kule kusini mpaka zikanunuliwa kwa operesheni kubwa iliyoongozwa na mwendazake hayati (the revered late) Mh. Rais John Pombe Joseph Magufuli.
Ni ngumu sana kwa Kabudi kutetea wananchi na kuisema serikali.
Juzi walimuita ili asaidie barabara zinazoingia kwenye mashamba ya miwa, kashindwa fika katuma mwakilishi.
Ni mbunge mpenda sifa, siyo mwajibikaji.
 
Wakome kabisa na wabinafsishe bora hata wamuzuuzie Baressa wao wajikite kwenye Kodi tuu,huu ni upuuzi Sana.

Serikali na biashara wapi na wapi? Kazi ya kutoa huduma wamemaliza?
Hapo awali NSSF na PPF walijikita kujenga majengo na kuyapangisha.
Lakini rais Magufuli mwendazake aliwataka kujikita kujenga viwanda. Matokeo yake ndiyo haya hapa.
 
Back
Top Bottom