Rais Samia, wakulima wa Miwa wanatishia kukibomoa Kiwanda cha Sukari cha Mbigiri

Sychronization haikuwepo hapo, ni sawa kutaka kuonga ugali, maji yapo, unga upo, gas imeisha.. Lazima vyote viwepo at the same time. Mama yetu atakuwa kasikia, tusimpe pressure hivyo
 
Nchi ngumu sana hii Adrenaline(emegency gland).

Pale Msowero watu wamelima miwa, lakini barabara ya kupita gari likabebe miwa ni mbovu.
Kabudi kaitwa juzi kama mbunge, hakwenda katuma mwakilishi.
Si anajua upuuzi alio nao na uhalisia uliopo.Ni watu wazima na elimu zao ila upuuzi umejaa vichwani.Mpaka huoni elimu yao ina manufaa gani kwa jamii.
 
Sychronization haikuwepo hapo, ni sawa kutaka kuonga ugali, maji yapo, unga upo, gas imeisha.. Lazima vyote viwepo at the same time. Mama yetu atakuwa kasikia, tusimpe pressure hivyo
Hakuna pressure hapa, ni thread kama thread nyingine tu mkuu.
 
Mbigiri ipo mkoa gani mkuu? Halafu jambo lolote linaloanzishwa na serikali hususani linalohusu biashara ni jambo la kuwa nalo makini sana.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Tutaongea yote lakini mwisho tukubaliane kuwa serikali haiwezi kufanya biashara! Huo ndio ukweli.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Ndani ya Mkoa unakaa masaa kumi na mbili kufika ..halafu unasikia uchumi wa kati.
Malinyi kule wangefikishiwa Lami ya Uhakika au Ilonga huko.Upuuzi mtupu..unaenda kujenga ujinga.Kilombero ,,Mtibwa Kagera na Moshi TPc zinafanya nini?
Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Kabudi hakufanikisha manunuzi ya korosho,alileta kampuni ambayo ilithibitika kuwa ahina uwezo wa kununua korosho na hazikununuliwa.

Upo sahihi sasa tutegemee Prof. Palamagamba Kabudi amejifunza kupitia saga la Korosho na hivyo amepata funzo pia hata umakini wa kuweza kutafuta ufumbuzi wa kero inayowasumbua na kuwatia udhalili wakulima hawa wa miwa waliotelekezwa huko Morogoro.
 
Upo sahihi sasa tutegemee Prof. Palamagamba Kabudi amejifunza kupitia saga la Korosho kutafuta na hivyo kupata umakini katika ufumbuzi wa kero ya wakulima hawa wa miwa waliotelekezwa huko Morogoro.
Kabudi hafai
 
Kabudi hafai

Ni mtego mkubwa maana ni mbunge wa jimbo tajwa lenye dhahama ya miss kukosa soko na pia waziri wa sheria na katiba ambayo masuala mtambuka kama benki ya Azania inawasakama wanyonge hawa wakulima wa miwa kwa 'madeni' pia.

Hii scenario inaweza kupelekea mtu kutumbuliwa, ukisikia unatupiwa kamba utangeneza kitanzi chako mwenyewe, ndiyo mazingira ya mbunge huyu wa Mbigiri-Kilosa Morogoro Tanzania.
 
Aione @Kalamu1
Serikali ijiepushe kufanya biashara kama hizi. Kuna risks nyingi sana. Na kwasababu ya kukosa weledi, hasara zinaweza kuleta shida mbele ya safari
 
Kumbe inawezekana.

Hayo mengine uliyoongeza ni mapambo tu kwenye hali ambayo ni 'desperate' kiasi hicho kwa wakulima hao unaowachochea wakavunje kiwanda!

Bado hujaona tatizo la mada yako ulivyoiwasilisha hapa?
 
Aione @Kalamu1
Nilishaiona mkuu wangu 'Yoda', na kuna mahala nimekwishaitolea mfano kabisa hapa hapa kwenye mada yenyewe.

Huu ni mfano wa uozo; hauwezi kamwe kuwa mfano wa serikali kushindwa kufanya biashara.
 
Huwezi lazimisha benki kutoa mkopo, we ulisikia wapi? Benki inafanya analysis na assessment yenyewe. Kwanza ningekuwa nahusika kwenye hiyo benki tangu mwanzo sitoi mkopo kwa kauli za kisiasa.
Benki ya Azania inamilikiwa na hizo taasisi za hifadhi ya jamii.....hicho kiwanda kinajengwa na pesa za hifadhi ya jamii......kwahiyo Azania inawezekana wanajua ya ndani huko hivyo wakasitisha kuendelea kuchoma hela....ukichangia na upigaji wa wafanyakazi wa taasisi za uma .....benki wameshtuka ...well ni mawazo yangu tuu
 
Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
Morogoro -Mahenge ni Kms 297.56 ila mpaka kufika huko ukitoka hapo Msamvu kumi na mbili kipindi cha kiangazi ukiwahi ni Saa Kumi jioni.
Morogoro to Malinyi Kms 369.73 ukitoka hapo Msamvu mpaka unaiona Malinyi almost saa kumi na moja jioni.
Hapa nazungumzia vipindi vya kiangazi,nenda Masika huko.
Kama umeuliza kwa kujifunza ni hayo tu.Shida sio Kms 600.Ni kilometres hizo lakini Miundominu ni Mibovu.Na hata baadhi ya sehemu huko Mawasiliano ni shida sana.
Ni wilaya gani hpo morogoro ambayo kutoka morogoro mjini mpaka hiyo ni almost kilometre 600?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Mawazo yako yanaheshimiwa.

Unajengaje kiwanda huku unashindwa ku-control cashflow!

Na kwanini walikubali kujenga kiwanda na kukubali kukopesha wakulima?
 
Na hapo unazungumzia kiangazi...........nenda masika waweza tumia hata siku mbili. Zile TATA zinanasa njiani na mtalala porini.
 
Na hapo unazungumzia kiangazi...........nenda masika waweza tumia hata siku mbili. Zile TATA zinanasa njiani na mtalala porini.
Asante Mkuu ,kuna mdau aliuliza nimejaribu kumjibu hapo.Mkoa wa Morogoro kuna namna upo..
 
Wakulima hawa wameshawishiwa na serikali kulima miwa.

Na mbaya zaidi ni serikali hiyohiyo ndiyo iliyowalazimisha Azania benki iwakopeshe pesa.

Kama haitoshi serikali pamoja na hiyo mifuko ya jamii ndiyo wanashindwa maliza hiko kiwanda.

Hapa mkulima anakosa gani mpaka anaongezewa riba ya adhabu!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…