KaziIendelee
JF-Expert Member
- Oct 30, 2013
- 327
- 229
Nawasalimu wanajamvi,
Mh. Rais hongera sana kwa kazi nzuri. Ni kweli sisi watanzania(ingawa sio wote) tunajua kwamba JKT haiajiri bali huwajengea ukakamavu na uzalendo vijana kwa nchi yao. Kuna vijana tunakutana nao mtaani wamelitumikia JKT miaka 3 hadi 4 katika shughuli mbalimbali. Hivyo hawa vijana wameonesha uadilifu na uzalendo mkubwa kwa nchi.
Ushauri wangu kwako Mhe. Rais, wakumbukeni hawa vijana kwenye ajira mnazozitoa serikali kwasababu hawa vijana ni hazina kubwa kwa Taifa. IKUMBUKWE miaka yetu ulikuwa huwezi kwenda chuo kikuu au kupata ajira mpaka upitie JKT kwa mwaka mmoja, hivyo nakuomba mhe. Rais uwakumbuke vijana hawa kwani humo humo wapo wenye ngazi Cheti, Diploma na Degree.
Asante.