Rais Samia: Wakurugenzi (DEDs) muda wenu wa uangalizi (probation) unaisha 18/02/2022 baada ya hapo tutaamua nani abaki nani aondoke

Kalumanzira hatawasaidia lolote. Wakurugenzi Wazembe, wezi, wabadhirifu na wanaotumia madaraka yao vibaya LAZIMA watumbuliwe.
Kuna wanaojua kuloga acha tu. Hata mamlaka ya uteuzi itajikuta haioni hizo performance reports.
 
Ninachowapendea msoga gang huwa mnawatangaza wapinzani wakishinda hao sukuma gang na mataga for life ni majitu yenye roho mbaya kinoma
2030 paul christine makonda for presidence...
Wapinzani mkishindwa kutumia kipindi hiki cha awamu hii itakua imekula kwenu hadi 2040,,
Huu ndo wakati wa wabunge akina henche, lema, kupigania kurudi kwenye bunge,,
Baada ya awamu hii anaefuata atakua mkali[emoji23][emoji23]
 
Kwamba mzenji anaendesha serikali ya Tanganyika?
 
Una akili fupi sana!Tanzania tuna Rais wala hatuna Mfalme.Kama wewe unaamini kuwa Tanzania ina mfalme amini hivyo wewe pamoja na mke wako na wala siyo kupangia watu kuamini utopolo wako.
Mbona enzi ya jiwe ulikua hutukani?, Ujue bijitu vingine banah sijui kwanini havieleweki yaani, mnapata kiongozi muungwana, mnamuona dhaifu eti mnaweza kutukana tu,, yaani wewe raha yako ni kuonekana umetukana Rais sio?
 
Kuna mded mmoja baada ya kuingiza kwa mganga wake,mganga wake akaamza kupiga manyanga yake
MGANGA
Vipi mbona umekuja kimyakimya
MDED
Pigs Ile part 2 naona dalili sio nzuri
MGANGA
Haya shika kile kifimbo
Utakuwa una kizungusha kichwani na nikiahesabia Moja mbili tatu Unajibu hiyohiyo
Kikiangukia kushoto ujuwe chamwino kimawakia kikiangukia Kulia ujuwe magogoni dsm kimawakia hapo ni kudhibiti tu sawa tuanze
MDEDkikiangukia katikati
MGANGA
Ujue upo salama
MDED
sawa Tuanze
MGANGA
Angweke,angweke,angweke Moja mbili tatu
MDED
hiyo,hiyo,hiyo
MGANGA
uwi naona hakiJaangukia pande wote ishu ipo PCCB
 
Hii comment inamtuhumu mh rais kuwa ni fisadi. Nimeiripoti kwa mod. Kama haitaondolewa itakuwa ni ushahidi tosha kuwa JF inaliwekea kivuli hili genge linalomchafua rais.
🗣️Wewe ni snitch..✍️
 
Safi sana, suala la "performance evaluation" katika kipindi watendaji wa serikali wapo kwenye "probation" liwaguse viongozi wote wenye wajibu wa kuwatumikia Watanzania, ili ufanisi katika uwajibikaji wao uweze kupimwa.

Kiongozi anayepewa nyumba ya kuishi bure, mshahara mzuri, usafiri wa uhakika na malupulupu mengine manono, lazima ufanisi wake wa kazi upimwe na udhihirike. Nimeona "clip" moja ya RC wa Mara, Hapo akiwa mbele ya Rais kaongea kama kiongozi mwenye kutambua majukumu yake. Naiona tunu njema ya uongozi ndani yake.
 
Mbona enzi ya jiwe ulikua hutukani?, Ujue bijitu vingine banah sijui kwanini havieleweki yaani, mnapata kiongozi muungwana, mnamuona dhaifu eti mnaweza kutukana tu,, yaani wewe raha yako ni kuonekana umetukana Rais sio?
Kwani Rais ni Mungu au ni Mfalme hadi asitukanwe?Kama wewe pamoja na mke wako mnaamini kuwa mnaongozwa na Mfalme inatosha ila sisi tunaamini kuwa tunaongozwa na Rais na wala siyo Mfalme au Mungu.
 
Hili lilikua linatarajiwa, nilishawahi kusema humu wakurugenzi walioteuliwa wasingemudu kazi hiyo, kazi ya ukurugenzi ni kazi ya kitaalamu na unadili na wataalamu nguli, kuwapa ukurugenzi watu ambao hawana uzoefu wowote wa mifumo ya serikali ilikua ni majanga na bado ripoti ya CAG ndo itakuwa na madudu lukuki. Hawa kama ilikua ni lazima kupewa kazi bora wangepewa kazi kama za ukuu wa wilaya, mkoa au udas.
 
Kila wanaolalamikiwa ni zao la uteuzi wa Lumumba mnategemea nini?

Hizo nafasi zingekuwa zinafanywa kwa ushindani na jopo huru kupata mtu hakika tusingefika huku.
 
Makonda ana vyeti??? Hicho kipindi ndo kwanza atakuwa anatumikia miaka yake jela
 
Ni kuongeza gharama kwa wananchi, hawa watu watabaki na mishahara yao mikubwa
 
Kile kigezo kikubwa Cha kuhakikisha ccm inashinda uchaguzi kwa njia yoyote kimeshatupwa?
 
Ninachowapendea msoga gang huwa mnawatangaza wapinzani wakishinda hao sukuma gang na mataga for life ni majitu yenye roho mbaya kinoma
Hili kwakweli Msoga Gang nawapongeza, wale Sukuma Gang hopeless kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…