Kibingu
JF-Expert Member
- Jan 6, 2022
- 1,078
- 1,445
Kuna wanaojua kuloga acha tu. Hata mamlaka ya uteuzi itajikuta haioni hizo performance reports.Kalumanzira hatawasaidia lolote. Wakurugenzi Wazembe, wezi, wabadhirifu na wanaotumia madaraka yao vibaya LAZIMA watumbuliwe.