We bakia kumuabudu marehemu!
Yeye mwenyewe alikuwa hadaa!Utawala wa magufuli ulikuwa na hadaa nyingi sana.
Kama yeye alitudanganya kwamba miradi yote ni fedha za ndani anashindwa nini kutengeneza hiyo scenario ya kuwa mashirika yanaingiza faida na serikali inapata gawio?Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Na gavana kama angeweka siri,usalama wangesanua dili,huyu mama atakua anapiga siasa.Halafu Magufuli asijue kama wamechukuwa hela ktk central Bank ? Raisi yuko karibu na Gavana wa Benki anakuwa briefed kila kinachoendelea, asiambiwe kama shirika xyz limekopa ?
Tunatayarishwa kisaikolojia ili mashirika yakiuzwa kwa wawekezaji tusipige kelele.Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV
Kwani TTCL ni lini imepata faida na mbona ilikuwa inatoa gawio kwa mabilioni ya shilingi?Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Shirika liweke dhamana kwani linakimbia kwenda wapi?Mmh walikuwa wanakopa kwa kuweka dhamana vitu gani?
Kadanganywa huyo,na waliomdanganya wanafahamu kabisa kwamba hawezi kufuatilia na kuujua ukweli.Na gavana kama angeweka siri,usalama wangesanua dili,huyu mama atakua anapiga siasa.
Tuseme amelishwa tango pori na Makamu wake? Maana yeye ndiye aliyekuwa Waziri wa Fedha, au mumesahau?Usikute mama analishwa tango pori ili utaratibu wa kutafuta uendelee kama ilivyokuwa awali!
Mahakama tu aliziweka mfukoni benki nazo hazikuwa na ubavu kama account za wateja waliziingilia.Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Mkuu, vipi Kama Hilo gawio la TTCL zilikuwa Ni sarakasi za jiwe ? Kitu ninachopinga Ni CEO kukopa alafu apeleke gawio, nakubali kulikuwa na sarakasi nyingi lakini hi ya CEO kukopa Bank aliweka dhamana Nini Hadi Bank impe mkopo ? Na alirudisha vipi wakati tunaambiwa Haya mashirika yali make loss ?Kwani TTCL ni lini imepata faida na mbona ilikuwa inatoa gawio kwa mabilioni ya shilingi?
Hujaambiwa ni mashirika yote ndiyo yalikuwa yanafanya hivyo.
Mimi nilikuwa nikifanya kazi shirika fulani na kipindi hicho tuliambiwa tupeleke kiasi fulani, baadae tuliambiwa tuongeze hicho kiwango.
Very nice observation! hata mimi naona hivyo pia. Hapa kuna jambo linatengenezwa.Tunatayarishwa kisaikolojia ili mashirika yakiuzwa kwa wawekezaji tusipige kelele.
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Hivi Vice President anakuwa na majukumu ganiRais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya
Source ITV