Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Hivi Mfano Shirika la Nyumba la Taifa linapataje hasara???

Watu wanajilipa mabilioni Kwa kusimamia Nyumba za umma!! Kama Vipi Kwa Nini zisirudishwe Kwa Eakurugenzi wenye mishahara kidogo badala ya kusimamiwa Kwa hasara huku wakilipana mabilioni ya fedha bola kujenga Nyumba za kutoshi ?

Hivi Shirika la posta lenye Benki na majengo yake nchi nzima linapataje hasara?

Hivi TTCL inapataje hasara?

Hivi NIC inapataje hasara?

Hivi bandari inapataje hasara?
Hivi Ewura inapataje hasara?
Hivi Tanapa inapataje Hasara?
Hivi Benki kama NMB inashindwaje kutoa gawio?

Kama mashirika ya umma yanakula Kodi zetu basi yauzwe tukianza na Tanesco.

Dhibitini mchwa mtaona faida?
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV

Sio mbaya walikua wanalinda ugali wao
 
Unakopa 5 bilioni unatoa gawio, mwakani unakopa tena 6 bilioni unalipa gawio ....
Ili kuonesha shirika linafanya vizuri mwaka unaofuata unaofuata unakopa tena 7 unatoa gawio 🤩🤩🤩🤩
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV
Bring back our hero
 
Dongo hilo kwa team jiwe, mbona hakusema kabla
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV
Magufuli alikuwa bonge la msanii
 
Inamaana hawastahili kutoa gawio kwa SERIKALI?
huu utaratibu wa gawio umeanzishwa lini na kwa Nini waliuanzisha wakijua they won't make it kufanya return?
Nafikiri ndio inatakiwa iwe hivyo kisheria, kuwa,cshirija lijiendeshe kwa faida na kutoa gawio kwa serikali. Ila mashirika hayajiwezi na matokeo yake ndio walikuwa wakikopa ili kumfurahisha Magufuli. Nafikiri rais wa sasa hawabani kabisa.
 
Hili la kukopa sijui...
Ila kuna Wakuu wa Idara ya Fedha katika shirika flani.. wao walikuwa na M 200 tuu.. DG wa shirika hilo alitoka jasho.. Aliambiwa bado wiki tuu.. Leta gawio...
Ikabaki siri tuu... Waliambiwa tunajua mpo hoi.. Leta hiyo 200 ...lakini kwenye ubao/ stiker iliandikwa 1.01 B na makofi mengi....
Magawio mengi yalikuwa kidogo.. Ila figure zilikuwa zinaandikwa tofauti sana...
 
Kwa hivyo Rais kasema uongo?. Kama kaambiwa hivyo na gavana wa benki kuu.

Nafikiri labda angetumia muda wake mwingi kuwaelezea Wafanyakazi kwa nini awaahidi kuwaongeza 23% ya Mshahara wakati hana huo uwezo badala ya kuwa obsessed na mtu ambaye alishakufa, kama kulikuwa na ugomvi wowote kifo kilishaamua kama alivyosema Nape wake.

Watanzania wana shida sasa hivi kila kitu kimepanda bei wanataka kusikia solutions ktk kwa Kiongozi wa nchi na siyo kuongelea mtu aliyekwisha fariki, haipunguzi mfumuko wa bei wala kuleta ajira kwa Watanzania!
 
Jamaa alikuwa msanii sana. Wakati ule kasema wameokota kichwa cha treni ndio nikajua usanii umejaa awamu ya 5.
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV

Kwani VP Mpango na PM Majaliwa wanasema je?
 
Halafu Magufuli asijue kama wamechukuwa hela ktk central Bank ? Raisi yuko karibu na Gavana wa Benki anakuwa briefed kila kinachoendelea, asiambiwe kama shirika xyz limekopa ?
Kumbuka marehemu alimzuia CAG kukagua AIR TZ na tukaambiwa shirika linapata faida
 
Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Wakati wa Magufuli kila kitu kinawezekana.
Mahakama ambao ambao wanategemea ruzuku kujiendesha nao walitoa gawio
 
Back
Top Bottom