Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Kama yeye alitudanganya kwamba miradi yote ni fedha za ndani anashindwa nini kutengeneza hiyo scenario ya kuwa mashirika yanaingiza faida na serikali inapata gawio?
 
ni wachache sana wanaosimamia kile wanachokiamini japo wako katika bonde la mauti na kupoteza kila kitu
Kwa mantiki hii maana yake kwa sasa watu ndio wanapumua means kuanzia second citisen mpaka mkata majani wa hospital hawakua radhi kusimamia wanachoamini kuogopa KITUMBUA kuingia mafuta ya mawese mabichi😅😅

Kwa hili bandiko Lissu kwa kiasi kikubwa abaki kuwa mwiba haswa wa siasa za mwendazake
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV
Tunatayarishwa kisaikolojia ili mashirika yakiuzwa kwa wawekezaji tusipige kelele.

Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
 
Mmh walikuwa wanakopa kwa kuweka dhamana vitu gani? BOT kama Regulator wa Industry hakuweza kulijua ilo na kubrief President kweli, Nakubali kuwa magufuli alipika data nyingi sana Kuhusu Dividend zilizokuwa zinatolewa na mashirika ya Umma ila hili la CEO kukopq ili watoe Gawio hapana kwa kweli
 
Na wewe unaamini huu uongo ? ,CEO wa shirika la umma akope zaidi ya 1 billion aliweka Nini huko Bank Kama dhamana, na Jiwe asijue ? Na Kama kweli walikopa while shirika linapata loss pesa ya kulipa ilitoka wapi
Kwani TTCL ni lini imepata faida na mbona ilikuwa inatoa gawio kwa mabilioni ya shilingi?

Hujaambiwa ni mashirika yote ndiyo yalikuwa yanafanya hivyo.

Mimi nilikuwa nikifanya kazi shirika fulani na kipindi hicho tuliambiwa tupeleke kiasi fulani, baadae tuliambiwa tuongeze hicho kiwango.
 
Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!

Kwa hivyo Rais kasema uongo?. Kama kaambiwa hivyo na gavana wa benki kuu.
 
Siyo swala la kuabudu, ni logic ya kawaida tu, Central Bank hawafanyi kazi kienyeji kama ni kweli walikopa fedha kama hata hilo linawezekana sijui ni lazima raisi angejua!
Mahakama tu aliziweka mfukoni benki nazo hazikuwa na ubavu kama account za wateja waliziingilia.
 
Kwani TTCL ni lini imepata faida na mbona ilikuwa inatoa gawio kwa mabilioni ya shilingi?

Hujaambiwa ni mashirika yote ndiyo yalikuwa yanafanya hivyo.

Mimi nilikuwa nikifanya kazi shirika fulani na kipindi hicho tuliambiwa tupeleke kiasi fulani, baadae tuliambiwa tuongeze hicho kiwango.
Mkuu, vipi Kama Hilo gawio la TTCL zilikuwa Ni sarakasi za jiwe ? Kitu ninachopinga Ni CEO kukopa alafu apeleke gawio, nakubali kulikuwa na sarakasi nyingi lakini hi ya CEO kukopa Bank aliweka dhamana Nini Hadi Bank impe mkopo ? Na alirudisha vipi wakati tunaambiwa Haya mashirika yali make loss ?

Kitu pekee nachoweza kuamini Ni Magufuli alidanganya hivo hakukuwa na gawio alilopokea, lakini kusema mikopo ilichukuliwa Bank Ni uongo,
 
Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao

Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya

Source ITV
Hivi Vice President anakuwa na majukumu gani
 
Back
Top Bottom