Rais Samia: Walioathirika na mafuriko Hanang ni Waathirika sio Wahanga

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Joined
Apr 18, 2017
Posts
3,984
Reaction score
13,760
Your browser is not able to display this video.

Lugha adhimu ya Kiswahili, Rais Samia Suluhu Hassan akielezea tofauti ya Waathirika na Wahanga kwa kilichotokea Wilayani Hanang Mkoani Manyara.

Amesema hayo baada ya watu wengi kutumia neno “Wahanga” wa mafuriko badala ya “Waathirika”.
 
Waathirika duh hili neno linatisha
 
Hili neno limenipa ukakasi sana, waandishi habari wengi Kiswahili kinawapita kushoto. Asante Mhe. Rais kwa ufafanuzi
 
..Kwa tafsiri hiyohiyo ya Raisi Hanang kuna waathirika na wahanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…