Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam
Atashindwa yeye maana yeye ni muhabiribifu wa amani namba mojaHayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam
View attachment 3527926
hakutaki?Anajiongelesha Ila anajua hatumtaki
Hili lijinga sana. Bichwa lake limejaa maji.Hayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam
View attachment 3527926
Kwa kipimo gani hasa umetumia kufikia Hitimisho hili?Inaonekana ana very low IQ ya kama 68
Watanzania wanahamishia humu machungu yao ya kimaisha, mtu akinyimwa mkopo hasira anazimalizia kwenye uzi wa mtu mwingine.Ndiyo maana Jf inachukiwa na serikali, comment nyingi sana zipo negative kama vile hakuna lolote zuri limewahi kutokea Tanzania
Too much negativity here
Members wengi wa JF wanajielewa. Majinga machache yanayolipwa buku 7 ndio hayajielewi. That means lazima comments ziwe negative kwa sababu hakuna mtu anayejielewa akashabikia udhalimu wa huyu mtuNdiyo maana Jf inachukiwa na serikali, comment nyingi sana zipo negative kama vile hakuna lolote zuri limewahi kutokea Tanzania
Too much negativity here
Hayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam
View attachment 3527926