Rais Samia: Waliotaka kutuharibia amani ili kuharibu sifa ya Tanzania washindwe na walegee

Rais Samia: Waliotaka kutuharibia amani ili kuharibu sifa ya Tanzania washindwe na walegee

Kumbe nyie mmekariri kuwa na akili ni kupata A darasani?

Kufaulu mitihani ni kipimo kizuri cha akili kwa sababu inaonesha uwezo wa kufundishika.

Mtu mwenye IQ kubwa huwa ni rahisi kufundishika. Kufeli mitihani ni kipimo cha kuwa huna uwezo wa kufundishika, kama hufundishiki ina maana una uwezo mdogo wa akili.
 
Pole sana kwa kukaririshwa hivyo na ukaamini hivyo

Kuna akili za aina nyingi siyo IQ peke yake, kuna nyingine kama EQ, SQ, na nyingine kadhaa

Kumpima mtu akili yake kwa kutumia matokeo ya shuleni ni kutokujua akili ni nini hasa

Pia tambua Rais siyo mtu mmoja. Rais ni taasisi, ni Jumla ya watu wengi sana siyo Samia peke yake.
 
Ndiyo maana Jf inachukiwa na serikali, comment nyingi sana zipo negative kama vile hakuna lolote zuri limewahi kutokea Tanzania

Too much negativity here
Hili ni jukwaa kwa ajili ya kupinga tu.
Ukisema lolote positive kwa Serikali basi utashukiwa na mvua ya mitusi na kejeli kwa sababu unakuwa umeharibu jukwaa
 
Hili ni jukwaa kwa ajili ya kupinga tu.
Ukisema lolote positive kwa Serikali basi utashukiwa na mvua ya mitusi na kejeli kwa sababu unakuwa umeharibu jukwaa
Hiyo ni dalili ya hatari, mimi sijawahi kuwa serikalini, sijawahi kunufaika chochote moja kwa moja kuja kwangu kutoka serikalini. Lakini siwezi kuichukia kwa kiwango hiki ninachoona hapa. Pia ukichunguza mimi siyo member sana wa hili jukwaa lakini namuonea huruma mmiliki wa JF maana yeye ndiye atakayeingia hasara akitetea watu wenye dhihaka wakitumia fake ID's
 
Ndiyo maana Jf inachukiwa na serikali, comment nyingi sana zipo negative kama vile hakuna lolote zuri limewahi kutokea Tanzania

Too much negativity here
Maelfu ya watu waliopotea na damu kumwagika huwezi kulinganisha eti na mema gani gani sijui.

Washauri wangemwambia asigusie kabisa damu za watu aliowauwa, angeongelea mautalii yake tu.

Chuki inapanda. Haishuki.
 
Watu wangapi walikufa? Je Tanzania ina watu wangapi sasa?
 
Tuseme hakuna aliyekufa basi.

Furahi na kusherehekea
Wewe unawaza waliokufa tu mbona huwazi walio Hai

Wamekufa watu Milioni 1 wamebaki Milioni 69 ila wewe masaa yote unawaza hao Milioni 1 badala ushukuru kwa hawa 69 waliobaki

Maelfu ya watu wanakufa kila mwaka kwa Malaria tu mbona hili huzungumzii

Yaliyotokea ndiyo yamekwisha kutokea hakuna namna unaweza kuyafuta, tugange yajayo tukijua hakuna mkamilifu chini ya jua
 
Hayo yamejiri katika hafla ya kuwapongeza wanamichezo waliofanya vizuri kimataifa inayofanyika leo Januari 10, 2026 Ikulu Dar es Salaam

View attachment 3527926
Kuna watu walitakiwa wawe hospital Ile ya pale Dodoma kama tungekuwa na vipiepeo makini

Sema ndo ivyo Tena

Baada ya kifo Cha Magu Kuna kada wa ccm mwanza alisema jamaa alikuwa na file hospital ya Dodoma
 
Wewe unawaza waliokufa tu mbona huwazi walio Hai

Wamekufa watu Milioni 1 wamebaki Milioni 69 ila wewe masaa yote unawaza hao Milioni 1 badala ushukuru kwa hawa 69 waliobaki

Maelfu ya watu wanakufa kila mwaka kwa Malaria tu mbona hili huzungumzii

Yaliyotokea ndiyo yamekwisha kutokea hakuna namna unaweza kuyafuta, tugange yajayo tukijua hakuna mkamilifu chini ya jua
Ukiona mtu hajali waliokufa na watakaokufa na kujiepusha kulinda uhai, hao walio hai utaendelea kuwauwa tu kwa kuwa una wengine wengi.

Ni sawa na kusema una watoto 10, hata wakifa 3 sio hasara kwako.

Kama niko sahihi, hii ni akili ya mwendawazimu na kichaa tu.

Mtu makini angeangalia na kujiepusha na sababu za kifo badala ya kupuuza na kuendelea na uzembe wa kulinda maisha, mali na ustaarabu wa binadamu.
 
Kwa hiyo watekaji ndo watunzaji wa amani?

Kwa hiyo wauaji ndo watunzaji wa amani?

Wanaojitangaza kushinda urais ilhali hakuna uchaguzi uliofanyika ndo watunzaji wa amani?

Yote hayo huyo zuzu haoni kuwa yaniletea nchi sifa mbaya?

This woman is so dumb beyond

Nilitaka kujiuliza, Ngabu ameasi lini.
Screenshot_20260111_151009_X.jpg
 
Back
Top Bottom