Rais Samia: Waliotaka kutuharibia amani ili kuharibu sifa ya Tanzania washindwe na walegee

Members wengi wa JF wanajielewa. Majinga machache yanayolipwa buku 7 ndio hayajielewi. That means lazima comments ziwe negative kwa sababu hakuna mtu anayejielewa akashabikia udhalimu wa huyu mtu
Kujielewa haina maana ndiyo uwe mtu wa kuona ubaya tu

Hakuna mtu wala kitu chochote wala hali yoyote ambayo ni mbaya tu wakati wote

Hiyo ni dalili ya watu wasio na shukrani kwa lolote
 
Wengine anzia mapema hasubui, huanza na Mungu na kumaliza na Mungu ,so waanzao na shetani na kumaliza na shetani , jua cha moto mtakipata
 
Sasa hiyo itamletea wakati mgumu mmiliki wa jf
 
Ndiyo maana Jf inachukiwa na serikali, comment nyingi sana zipo negative kama vile hakuna lolote zuri limewahi kutokea Tanzania

Too much negativity here
huwezi kuuwa wapigakura wako unaowaongoza na waliokupa kura milioni 31 alafu tuendelee kukuchekea!
 


Samia hajui hali halisi ya uchumi wa Tanzania. Sasa hivi kila mwezi serikali inabidi iingilie soko la fedha za kigeni.
 
Dunia nzima hajawahi tokea raisi zuzu kama huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…